Vizinga wakati wa kutongoza

Vizinga wakati wa kutongoza

Mwamba chukua kinywaji nakuja kulipa. Nimepitia hiyo hali, ila hawanisumbui. Mmoja anachenga kutoa jibu Jana kaomba hela kuuliza jibu anasema bado ana nipima. Mwingine ali kubali kuhusu mzigo anasema bado muda. Busu la kwenye simu ata kupa la mubashara hataki. Nilipo tumia mantiki na kuacha kusikiliza hisia nigundua naibiwa.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Daaa hichi kichaka wanajifichia sana siku hizi.
 
Back
Top Bottom