Viwanja vyenye majina ya kuvutia Duniani

Viwanja vyenye majina ya kuvutia Duniani

Zege stadium - mbeya university of science and technology (must)
 
Celtic park - celtic fc
ibrox - rangers fc
old firm derby, Ndiko derby/watani wa jadi wa mwanzo kabisa ktk soka hao wawili
 
kumamoto stadium japan ndio uwanja unaovutia kushinda viwanja vyote
 
viwanja ambavyo navipenda majina yake vyote vipo wilaya ya kinondoni,kimoja kinaitwa KIBONDE BASHA-hiki kipo bonde la kinondoni na magomeni karibu na shule ya msingi mwongozo!kiwanja hiki kilipewa jina la KIBONDE BASHA kutokana na kushamiri matukio ya kulawitiana bondeni hapo.........kingine kilikuwa kinaitwa MAJI YA UGOKO,hiki kipo bonde la magomeni na hospitali ya muhimbili
 
Mangasta kwamtoro kondoa stadium - Timu, Kwamtoro Rangers
 
CCM Kirumba - Mwanza Teh! teh ! kibanda Maiti - Unguja. Na Karibuni Mfe - Jamiiforum.
 
Ali Hassan Mwinyi - Tabora.
IMAG0039.JPG
 
San Siro = AC Milan @ home
Giuseppe Meazza = Inter @ home
Si kweli, jina lilibadilishwa rasmi mwaka 1979 na kuwa Giusepe Meazza kama jina rasmi. Hayo majina ni mapendeleo tu ya mashabiki lakini jina rasmi ni hilo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom