Viwanja vya makazi vinauzwa mbezi ya kimara

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
279
35
size: 30*40 bei 6milion
size: 25*25 bei 3milion
size: 25*20 bei 2.5milion
vinafikika kwa gari yoyote, maji yapo na umeme hauko mbali.
(piga 0715055577/0769055577)
 
Vipo sehemu moja au mbali mbali? Mbezi ya kimara kubwa,specify mbezi mwisho au mbezi madale?
hizo vipimo ni feet or meter?
 
Rafiki, king kong 3 si kakuuliza? Mjibu bas!? Halafu kabla hatujaku-pm wewe ndo mmiliki? Au dalali ama raia mwema mzalendo(hapa maana yake huna % wala kamishen) mpenda maendeleo ya wanajamvi
 
Vipo sehemu moja au mbali mbali? Mbezi ya kimara kubwa,specify mbezi mwisho au mbezi madale?
hizo vipimo ni feet or meter?

viko sehemu moja, mbezi kwa yusufu njia ya kwenda mpiji magoe..vipimo ni mita.
vyote ni mali yangu hapa hakuna udalali.
 
mkuu vina hati??? hio mbezi kwa mzee yusuph ndio ipi kwa mnaojua...,mie naijua mbezi malamba mawili ni mbali na hapo au? kuna maji na umeme karibu?
 
size: 30*40 bei 6milion
size: 25*25 bei 3milion
size: 25*20 bei 2.5milion
vinafikika kwa gari yoyote, maji yapo na umeme hauko mbali.
(piga 0715055577/0769055577)


Bado vipo hivyo viwanja? Je, ni umbali gani toka morogoro road kuelekea hiyo mpigi road??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom