Plot4Sale Viwanja vya Makazi kwa bei nafuu

Plot4Sale Viwanja vya Makazi kwa bei nafuu

mkuu ivi kuna viwanja chini ya sqm 400 vinaweza pimwa kweli yaani foot 40 kwa 50 ni sqm 180 yaan 15M kwa 12M sheria inasemaje kupima viwanja vya sqm 180viwa
mkuu ivi kuna viwanja chini ya sqm 400 vinaweza pimwa kweli yaani foot 40 kwa 50 ni sqm 180 yaan 15M kwa 12M sheria inasemaje kupima viwanja vya sqm 180
Viwanja vyetu ni sqm 200, sqm 400, sqm 800 ,sqm 1600

Unalipia taratibu kwa uwezo wako

Kama umeambiwa sqm 200 sheria inavikataa kupima
Karibu Uje uchukue vinavyokubaliwa na sheria
 
ukiona mradi una foot 40 kwa 50 ambazo ni sqm 180 yaan chini ua 400 kuna mashaka apo ivyo viwanja haviwezi kupimwa
Kwanini ujipe mashaka wakati vipo visivyokuwa na mashaka?? Sqm unazotaka zipo Karibu mkuu
 
Forodhani Smart City

MRADI WA VIWANJA BADO VIPO

TUWASILIANE 0754553380
 
Attachments

  • 500423dd3d684a4eab8ac12dc7ee324d.jpg
    500423dd3d684a4eab8ac12dc7ee324d.jpg
    492.6 KB · Views: 27
VIWANJA VYA MAKAZI

MJI WENYE MPANGILIO WA KISASA
 
Attachments

  • 787d967c3c5c404d98c4b5296477ab4f.jpg
    787d967c3c5c404d98c4b5296477ab4f.jpg
    33 KB · Views: 18
💰 MILIONI 2 AU 4 TU UNAKUWA MMILIKI WA ARDHI!

Malipo ya awamu • Hakuna dalali • Hati halali ✅

🏡 Anza mwaka mpya kwa uwekezaji wa uhakika.

📍 MRADI UPO – KISEMVULE

✅ Bei kuanzia Tsh Milioni 2 & Milioni 4
✅ Malipo ya awamu hadi miezi 6 – rahisi, bila presha
✅ Hati miliki ya mtaa – umiliki halali na salama
✅ Umeme na maji karibu – tayari kwa ujenzi
✅ Hakuna dalali – unanunua moja kwa moja kwa mmiliki

📈 Miundombinu imara = Thamani ya kiwanja kupanda!

Barabara zimetengenezwa vizuri, zinafikika kwa urahisi 🚗
Hakuna kukwama – maendeleo yanaonekana wazi.

🚐 Site visit kila siku – BURE kabisa!
Fika ujionee mwenyewe kabla ya kufanya maamuzi.

📞0754553380 Wasiliana nasi sasa – viwanja vinaenda kwa kasi!

✨ Leo unawekeza, kesho unavuna faida.

#Kisemvule #UwekezajiSalama #ArdhiYako #Milioni2 #Milioni4
 
WASILIANA NASI 0754553380
 
Attachments

  • IMG-20260222-WA0243.jpg
    IMG-20260222-WA0243.jpg
    641.7 KB · Views: 12
  • VID-20260223-WA0099.mp4
    9 MB
  • IMG-20260222-WA0235.jpg
    IMG-20260222-WA0235.jpg
    508.5 KB · Views: 10
WASILIANA NASI 0754553380
 
Attachments

  • 59af4bc25bfb4337a254854dbdf7a59e.jpg
    59af4bc25bfb4337a254854dbdf7a59e.jpg
    117.4 KB · Views: 9
WASILIANA NASI 0754553380
 
Attachments

  • bec808ef73144873b133af851aa78685.jpg
    bec808ef73144873b133af851aa78685.jpg
    240 KB · Views: 9
Wewe mzee wa dar es salaam kwenye moja na mbili 😹😹😹

Hivi sio mbali nije nipate square mita zangu kadhaa huko.
Kisemvule ninayoijua mm kiwanja cha milioni 2 hiyo safari yake sio poa. Mpera kuna nyumba ya baba angu mdogo kule na kiwanja cha mjomba. Yani huko anakosema muuzaji unakwenda unavuka bonde. Kwa pikipiki kutoka kisemvule inaweza kuwa hata buku 4 au 5
 
Wewe mzee wa dar es salaam kwenye moja na mbili 😹😹😹

Hivi sio mbali nije nipate square mita zangu kadhaa huko.
Ila kuna mchanga mweupe sana maeneo yale na maji safi baridi flan hiv.... mm sijnunua kule sbab ya ndugu na wzramo wamejaa
 
Kisemvule ninayoijua mm kiwanja cha milioni 2 hiyo safari yake sio poa. Mpera kuna nyumba ya baba angu mdogo kule na kiwanja cha mjomba. Yani huko anakosema muuzaji unakwenda unavuka bonde. Kwa pikipiki kutoka kisemvule inaweza kuwa hata buku 4 au 5
😹😹😹 Safari ya ubungo to chalinze hiyo..!!
Huko labda tutafute kwa ufugaji na kwa baadaye huko..
 
Ila kuna mchanga mweupe sana maeneo yale na maji safi baridi flan hiv.... mm sijnunua kule sbab ya ndugu na wzramo wamejaa
Wazaramo miaka inayoenda watahama huko kama mzizima ya zamani. Sasa hivi wote wamekimbia tumebaki wakinga 😹😹
 
😹😹😹 Safari ya ubungo to chalinze hiyo..!!
Huko labda tutafute kwa ufugaji na kwa baadaye huko..
Na inawezekana isiwe kisemvule ila inatumia jina la kisemvule. Mana wauza viwanja siku hiz wanakuambia bunju, ukifika bunju wanakupakia kwenye gari boda to boda mpaka bagamoyo uswekeni huko. Bado wanakuaminisha kuwq bunju.. kamq una hela kanunue Magodani njia ya mwasonga
 
Kule mwasonga kumewika sasa hivi, kuna rafiki yangu ana plot zake..!!

Kuna vile vya vikunai waliuza municipal nilichukua square mita moja 25,000 vilikuwa vizuri..!!
 
Kule mwasonga kumewika sasa hivi, kuna rafiki yangu ana plot zake..!!

Kuna vile vya vikunai waliuza municipal nilichukua square mita moja 25,000 vilikuwa vizuri..!!
Excelent tuna eneo pale Mgeninan mitaa ile ya (Kingazi nyuma kidogo) la urithi una hela tuongee biashara?
 
Kule mwasonga kumewika sasa hivi, kuna rafiki yangu ana plot zake..!!

Kuna vile vya vikunai waliuza municipal nilichukua square mita moja 25,000 vilikuwa vizuri..!!
Mwasonga kwa sasa kunatoa njia ya tundwi songani kwenda kimbiji. Nina plot ndogo kule ya kuanzia maisha. Ila nataka kununua malamba mawili lete hela za kariakioo nikawekeze kule malamba mawili kwa steve
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom