Viwanja vya madini handeni.

Alex777

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
30
Reaction score
4
Salam wana- jamii. Kama kuna mtu yeyote kati yenu anajua/amesikia juu ya wawekezaji wa madini (Dhahabu) waliopo Handeni au wanaohitji maeneo ya dhahabu Handeni, tafadhari naomba ,mnijuze. Nina viwanja zaidi ya 19 Handeni vingi vikiwa kilindi na Komkonga na Kwadijava. Naombeni ushirikiano wenu katika hili. Ahsante.
 
Weka ukubwa na bei mkuu
 
Sijakuelewa kaaaaabisa.
Sijui ni hili 'PILAU'nililokula mchana huu au lah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…