Plot4Sale Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

Plot4Sale Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
520
Reaction score
407
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate
 

Attachments

  • a0ccc985-d343-476e-a7b5-e2ba456bcc70_0_watermark.jpeg
    a0ccc985-d343-476e-a7b5-e2ba456bcc70_0_watermark.jpeg
    434.7 KB · Views: 4

Similar Discussions

Back
Top Bottom