fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,999
- 6,256
wewe ndio uliyetoa tangazo??Sawa karibuni sana wadau, viwanja vipo Kibada km 11 kutoka Ferry.
Tunauza Square Mita moja Tsh. 5,000
Hivyo kiwanja cha 20m x 30m ni SQM 600 kinauzwa Tsh. 3,000,000 tu
Bila kusahau maongezi yapo. Umeme na maji pia vipo! Karibuni