Viwanja viwanja viwanja Dodoma

Viwanja viwanja viwanja Dodoma

RICH GANG LIFESTYLE

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
256
Reaction score
192
Habari za Asubuhi wadau

Kutokana na dhamira ya rais wa nchi kuhamia Dodoma, kutaambatana na fursa kibao za uwekezeji kwenye ardhi.

Kwa walioko Dodoma tunaomba kujua bei ya viwanja vya makazi maeneo tofauti tofauti, madalali, makampuni wanaojishughulisha na kuuza viwanja na mashamba tunaomba mtangaze bidhaa yenu hiyo na sisi wa mkoani tuje kuchangamkia fursa ya uwekezaji huko dodoma
 
Koma kabisa tena usidanganyike dodoma hakuna madalali wala makampuni ya viwanja huku ni CDA tuuuuuuuu
 
Maeneo ya Dodoma hupimwa na CDA na baadae huyagawa kwa watu wanaoomba kwao CDA. Ukihitaji Kiwanja unaenda/unawasiliana na CDA na wao watakupatia eneo la kujenga. Kwa ujumla viwanja vya CDA ni vya bei rahisi ila ukihitaji kwa wale ambao walijaaliwa kuwahi maeneo waliyokwishapewa utaonana na walipopewa na mtakubaliana jinsi ya kuuziana na kumilikishana hilo eneo.
 
Back
Top Bottom