Viwanja vinauzwa

Viwanja vinauzwa

Kariba1

Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
75
Reaction score
4
1 kiwanja kinauzwa kina hati ukubwa wake ni square metre 1710 kipo Tegeta block "B" (MASAITI) bei ml 150
kwa mawasiliano zaidi piga 0714104788 au 0714107215

2 Kiwanja kizuri kipo Tegeta nyuki kimepimwa kina hati ukubwa square metre 900 bei yake ml 65 kwa mawasiliano
piga 0714104788 au 0714107215

3 kiwanja kipo bunju "B" block 11 ukubwa sq m 1009 bei ml 35 mawasiliano 0714104788 au 0714107215
 
icho cha mil 150 ndo tuseme ukubwa wake ni nini, ekari ngapi? kiko umbali gani na barabara?
 
mimi pia nina kiwanja kama mara kumi ya ukubwa huo.....sikitaki icho chako...
 
Plot ina square mita 1710 sawa na nusu heka haiko mbali na barabara
 
Mbona huku kwetu CHANIKA viwanja ni tsh million2 tuu kwa heka?kwani ni lazima muishi tegeta?au anayeishi huko hafi?Ebu njooni CHANIKA bana,unapata likiwanja unajenga na eneo linabaki unalima mihogo lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom