Viwanja vinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by consigliori, Jun 13, 2011.

 1. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kimara Temboni - About 3 KM toka barabarani, 40 X20Metres, bei Tshs 12,000,000 ( Baraba mpaka kwenye kiwanja, umeme upo)
  Mbezi msakuzi 40 X 20Metres, bei Tshs 8,000,000 ( Kinapakana na shule ya sec, barabara inafika mpaka kiwanjani, umeme upo kama metre 300 hivi toka kiwanja kilipo). About 6 KM toka morogoro road.

  If interested, ni pm
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Aisee!poa basi
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,389
  Trophy Points: 280
  Maji je?
   
 4. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hamad mfaume sijakupata kabisa..... mbona unauliza swali alafu unajijibu mwenyewe au wewe ndiye mwanzisha mada (consiglior)?
   
 5. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  kwa yeyote mwenye kiwanja mitaa ya Mbezi beach, Mikocheni anifahamishe!
   
 6. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  umenifanya nicheke!mambo ya kuwa na Id 6 unasahau hadi ulichokianzisha mwenyewe!kajiuliza swali badala abadili id ndio ajibu kajikuta kajibu na id ile ile.
   
 7. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha kajiuliza swali tarehe 15 June 2011 afu kajijibu tarehe 23 June 2011.
  Mmmh doubtful!!!!
   
 8. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mmh, hili chaka.
   
 9. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mmh, hili chaka. Haiwezekani uulize swali na kujijibu, intelijensia inagoma.
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,389
  Trophy Points: 280
  Msamehe,alitaka kujibu kwa ID ya consiglior bahati mbaya akatumia ID ileile ya Hamad Mfaume aliyoulizia swali,Usanii ukianzia JF haujafika kweli kwenye hivyo viwanja?
   
 11. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,562
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Kaazi kweli kweli, eti vimepimwa!!!!hili chaka la nguvu...
   
 12. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  chaka!!....chaka!!....chaka hahahaha
   
 13. samito

  samito JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mhaha haa mbavu zangu isee, hakawii ku ji pm!
   
 14. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Itakuwa amesahau kulog out na ku log in na ile nyingine ili ajijibu vizuri.
   
 15. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sorry was not arround, si unajua tanzania yetu kuna sehemu umeme hakuna kabisa. Anyway, alouliza na kujijibu kaniharibia biashara yangu, ila hana uhusiani na mimi consigliori.

  Ukweli ni kuwa viwanja vipo, kujibu maswali ya watu waliouliza;

  havijapimwa
  hakuna maji - si mnajua maji tatizo la DSM?
   
 16. H

  Hamad Mfaume Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejibu kimakosa mkuu.
   
 17. a

  abrisalim Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe hamadi mfaume kazi yako nikupanda minazi kule shengejuu usirukie kazizawatu ukatutia aibu bwanaa.
   
 18. H

  Hamad Mfaume Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok ok ok ok ok. Hapo hapo, hapohapo mwisho.
   
Loading...