Viwanja vinauzwa vipo gezaulole kikamboni

hivyo hivyo kaka,wajenge wao sasa cc tubaki kuwa wapangaji
 
huyu dalali Akiri alikuwa na vitu fair,siku hizi kapanda bei....:wacko:
 
Hamna bado viko fair kuna viwanja mpaka vya 3m na vimepimwa .kuna uwanja ulitangazwa hapa ulikuwa unauzwa 25m lakini baada ya kuwakutisha mnunuji na mmiliki wakafanya biashara kwa 15m. sasa humu wengi wanalalamika mi nadhani tusiwe waoga hivi viwanja wengi pia wanalipa kwa awamu. mtu aje waonane na mmiliki amwambie ni shi ngapi atalipa kuliko kukaa mbali na kuanza kuimba visadi sijui...... wabongo bwana
 
Haya tumekusikia. Bado vipo? Halafu hebu tuhakikishie kuwa havipo katika mradi wa kupima viwanza maana Gezaulole itapimwa kwa maeneo yote ambayo hayajapimwa!!! Vina offer na tittle maana kuweka mawe si hoja!!!!! Maana viwanja vingi ambavyo wenyeji walishajipimia Kigamboni vina matatizo sana maana inawezekana ameshaweka mawe lakini hakuwahi hati na ofa kabla ya stop. Nitakutafuta akiri ila hakikisha unanipigia debe ili vishuke bei.
 
shaka ondoa mkuu viko sawa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom