Viwanja vinauzwa tegeta 'a' bei 2.8mil

Viwanja vinauzwa tegeta 'a' bei 2.8mil

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa tegeta a (matosa) anaitwa mwamba namba ya simu 0656154444
 
Tegeta a ( matosa) ni zaidi ya kilommeter 5 toka mbezi mwisho hakuna dala dala ni canter na tax mbovu mbovu nauli sh 1000/= maji ni ya shida sana , mwisho wa usafiri ni saa moja uciku, hakuna gari za kujaa posta, wala kariakoo. Inabidi upande pikipiki ndio usafiri mkubwa
 
Asante kwa ufafanuzi kaka, kama viwanja ni vya uhakika na havina mgogoro sijaona tatizo hapo, nashukuru kwa taarifa na angalizo.

vyote ni mali yangu.

Mpendamaendelo suala la hivyo viwanja kuwa na mgogoro unalizungumziaje?
 
Duuh asante sana nlikuwa nataka kwenda nkavione nlipie kabsa Leo,asante kwa kunitoa mdomon mwa mamba, nngetapeliwa hivihivi duuh
 
Kuna watu hawana huruma na wenzao kabisaaaa!! Nusu niingie "chwaki chwaki" ... Asante Enrique

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
usidanganywe na asiependa maendeleo ya wengine.
na pili
mauzo au makubaliano yoyote yanafanyika serikali ya mtaa. na tatu utakuwa na furusa ya
kuwauliza majirani kama kuna mgogoro wowote...Eneo hilo halina mgogoro wowote na halijawahi kuwa na mgogoro wowote
 
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa tegeta a (matosa) anaitwa mwamba namba ya simu 0656154444

Nashukuru mkuu kwa kuweka namba sahihi na jina sahihi la mwenyekiti wa mtaa teteta 'a'(matosa). sasa wadau nifurusa kwenu kujua ukweli na si uzushi wa erique wakutaka kupotosha wanajamii?
 
Asante kwa ufafanuzi kaka, kama viwanja ni vya uhakika na havina mgogoro sijaona tatizo hapo, nashukuru kwa taarifa na angalizo.

Mpendamaendelo suala la hivyo viwanja kuwa na mgogoro unalizungumziaje?

Mkuu nakuakikishia hakuna mgogoro wowote, namba ya simu iliyowekwa na mdau wilshare ni sahihi hivyo unaweza itumia kujiridhisha zaidi kabla hujaja.
na mauzo yanafanyikia serikali ya mtaa na utapata fursa ya kuonana na mwenyekiti, na mtendaji.
alicho fanya erique ni fitina tu na chuki.
 
Kuna watu hawana huruma na wenzao kabisaaaa!! Nusu niingie "chwaki chwaki" ... Asante Enrique

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
kwanza, hakuna mgogoro wowote. pili,
mauzo au makubaliano yoyote yanafanyika serikali ya mtaa. na tatu, utakuwa na furusa ya
kuwauliza majirani kama kuna mgogoro wowote...mwisho alichofanya erique ni fitina na chuki tu hanalolote
alilochunguza.
 
Nashukuru mkuu kwa kuweka namba sahihi na jina sahihi la mwenyekiti wa mtaa teteta 'a'(matosa). sasa wadau nifurusa kwenu kujua ukweli na si uzushi wa erique wakutaka kupotosha wanajamii?

Tutaaminije hiyo ID ya wilshere sio yako?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom