Viwanja vinauzwa Mtwara (Gas City)

Viwanja vinauzwa Mtwara (Gas City)

Nash mjamaica

Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
57
Reaction score
16
Habarini wana forum,

Ugunduzi wa gas na uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha cement kikubwa afrika mashariki na kati cha tajiri mkubwa Africa dangote genuine cement kimetoa fursa kubwa na ukuaji wa haraka wa mji wa mtwara.

Idadi kubwa ya watu na uwekazaji wa kibiashara na ujenzi mbalimbali umeshika kasi sana.Kwa wale wanaoitaji viwanja na kuweza kufahamu aina ya fursa zinazopatikana huku unakaribishwa kwa maulizo zaidi ya viwanja ambavo vino potential areas kiujenzi wa apartment,godowarns,hotels,ukumbi wa mikutano na nk kwa bei nafuu na za kimaelewano mnakaribishwa nyote mlioko sehemu mbali mbali za tanzania.

Mtwara kuchelee..kwa mawasiliano zaidi piga namba 0717770750 utasaidiwa na kupewa ushauri kuhusu mtwara na hitaji lako wakati ni sasa wekeza mtwara kwa ukuaji wa haraka wa mji kutokana na gas na kufunguliwa kwa kiwanda cha dangote cement.
 
Back
Top Bottom