Old guard JF-Expert Member Dec 15, 2020 1,494 2,700 Aug 22, 2021 #1 Viwanja vinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya. vipo vinne(4) mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000) ukichukua vyote vinne utapata punguzo kutoka main road mpk kwenye kiwanja ni km 2 umeme umefika na viwanja vimepimwa vipo katika michakato ya hati Mawasiliano 0620149421
Viwanja vinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya. vipo vinne(4) mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000) ukichukua vyote vinne utapata punguzo kutoka main road mpk kwenye kiwanja ni km 2 umeme umefika na viwanja vimepimwa vipo katika michakato ya hati Mawasiliano 0620149421
Old guard JF-Expert Member Dec 15, 2020 1,494 2,700 Aug 23, 2021 Thread starter #3 King Loto said: Excellent news to hear Click to expand... Ok
Old guard JF-Expert Member Dec 15, 2020 1,494 2,700 Aug 23, 2021 Thread starter #5 Renegade said: Safi, panafaa kwa kilimo. Click to expand... Haswaa kule watu wengin wanalima mpk mpunga mkuu tena kwahy ukiona mpk mtu analima mpunga bhas jua maji si yakuwazia
Renegade said: Safi, panafaa kwa kilimo. Click to expand... Haswaa kule watu wengin wanalima mpk mpunga mkuu tena kwahy ukiona mpk mtu analima mpunga bhas jua maji si yakuwazia
jang JF-Expert Member Jul 31, 2014 1,412 1,174 Aug 23, 2021 #6 Old guard said: Haswaa kule watu wengin wanalima mpk mpunga mkuu tena kwahy ukiona mpk mtu analima mpunga bhas jua maji si yakuwazia Click to expand... Kama wanalima mpunga panafaa kwa ujenzi?
Old guard said: Haswaa kule watu wengin wanalima mpk mpunga mkuu tena kwahy ukiona mpk mtu analima mpunga bhas jua maji si yakuwazia Click to expand... Kama wanalima mpunga panafaa kwa ujenzi?
Samcezar JF-Expert Member May 18, 2014 13,096 22,631 Aug 23, 2021 #7 Huo udongo sio wa kichanga so sina uhakika kama hayo maeneo ni suitable kwa ujenzi.
Old guard JF-Expert Member Dec 15, 2020 1,494 2,700 Aug 23, 2021 Thread starter #8 jang said: Kama wanalima mpunga panafaa kwa ujenzi? Click to expand... Nafkr hujaelewa namaanisha kule kuna baadh ya maeneo wanalima mpunga kwahy haimanishi ni pale kweny kiwanja elewa hilo
jang said: Kama wanalima mpunga panafaa kwa ujenzi? Click to expand... Nafkr hujaelewa namaanisha kule kuna baadh ya maeneo wanalima mpunga kwahy haimanishi ni pale kweny kiwanja elewa hilo
Old guard JF-Expert Member Dec 15, 2020 1,494 2,700 Aug 23, 2021 Thread starter #9 Samcezar said: Huo udongo sio wa kichanga so sina uhakika kama hayo maeneo ni suitable kwa ujenzi. Click to expand... Mbon unaongea km umefika!?jf kila mtu ni mjuaji kwann!??punguza kiherehere mkuu au huon picha apo juu!!?
Samcezar said: Huo udongo sio wa kichanga so sina uhakika kama hayo maeneo ni suitable kwa ujenzi. Click to expand... Mbon unaongea km umefika!?jf kila mtu ni mjuaji kwann!??punguza kiherehere mkuu au huon picha apo juu!!?
Old guard JF-Expert Member Dec 15, 2020 1,494 2,700 Aug 23, 2021 Thread starter #10 Utakuta bado mtu anasema hapo hapafai kwa ujenzi
Mtalebani Mweupe JF-Expert Member Mar 12, 2020 547 620 Nov 14, 2021 #11 Nauza viwanja 2 vilivyopimwa vipo Kiluvya Dar es Salaam. Bei ni 4m@ kwa aliye serious ani PM