Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,487
2,693
Viwanja vinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya.

vipo vinne(4) mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000)

ukichukua vyote vinne utapata punguzo

kutoka main road mpk kwenye kiwanja ni km 2

umeme umefika na viwanja vimepimwa vipo katika michakato ya hati


Mawasiliano 0620149421

IMG_4799.jpg
 
Huo udongo sio wa kichanga so sina uhakika kama hayo maeneo ni suitable kwa ujenzi.
 
Huo udongo sio wa kichanga so sina uhakika kama hayo maeneo ni suitable kwa ujenzi.

Mbon unaongea km umefika!?jf kila mtu ni mjuaji kwann!??punguza kiherehere mkuu au huon picha apo juu!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom