Tumeenda kwenye vile vya rahisi Kibaha! hivyo ni vhya wenye fweza banaVIwanja vipo kigamboni wilaya ya Temeke, ni 16km toka Feri ya magogoni ,
vipo katika block moja.
vimeungania
kimoja kina Sqm 1,357 bei ni Tsh. 17m
kingine kina Sqm 1,682 bei 18.5 m
vimepimwa na vina hati, vimefuatana unaweza chukua vyote 2 au ukachagua kimoja :
kwa anayetaka tuwasiliane:
Tom Real Estate Agents
+255 685 31 23 26.
kwani hivyo ulipewa bureee! acha uswahili wakoTumeenda kwenye vile vya rahisi Kibaha! hivyo ni vhya wenye fweza bana
kwani hivyo ulipewa bureee! acha uswahili wako
Diamond ya TZ ni Mwadui hacheni uzushi!
Kigamboni Blue Diamond of Tanzania project.. - Jamii Forums
Viko umbali gani from Mjimwema-Kongowe Road?Viwanja hivi bado vipo na imepungua , tunaweza wasiliana kwa mhitaji wa kununua au kwenda kuona ! karibuni
Viwanja hivi bado vipo na imepungua , tunaweza wasiliana kwa mhitaji wa kununua au kwenda kuona ! karibuni
kibada ya upande wa NSSF ni block number 4 , unaingilia pale kiembe mbuziHivyo viwanja vipo full shangwe pale au kibada ipi?
kutoka kongowe road ni 1.5km , kama utakuwa umetoka mji mwema unaenda kongowe ukifika kibada pale shule unatembea kidogo mpaka pale mwafrika ndiyo unakata mkono wako wa kulia.Viko umbali gani from Mjimwema-Kongowe Road?
VIwanja vipo kigamboni wilaya ya Temeke, ni 16km toka Feri ya magogoni ,
vipo katika block moja.
vimeungania
kimoja kina Sqm 1,357 bei ni Tsh. 17m
kingine kina Sqm 1,682 bei 18.5 m
vimepimwa na vina hati, vimefuatana unaweza chukua vyote 2 au ukachagua kimoja :
kwa anayetaka tuwasiliane:
Tom Real Estate Agents
+255 685 31 23 26.
Hilo nalo la msingiMkuu hivi viwanja ebu fafanua kidogo kama ni miongoni mwa viwanja vya mradi wa serikali au ni private developers?
Mkuu hivi viwanja ebu fafanua kidogo kama ni miongoni mwa viwanja vya mradi wa serikali au ni private developers?
sawa ni vya mladi wa serikali mkuu, vipo salama na maeneo jirani kuna ujenzi uliokamilika na unaoendelea. karibu
0685 312326, au 0783 446 220Nipe namba yako mkuu nikutafute..weewe ni dalali au ni vya kwako