Viwanja vinauzwa Kibaha na Mlandizi

Viwanja vinauzwa Kibaha na Mlandizi

TheThreatTr

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
339
Reaction score
13
Habari wanajf!!' kiwanja khekari moja inauzwa maeneo ya mlandizi, kiwanja hicho kipo kilometa 3 kutoka stand ya mlandizi mkono wa kulia kama unakuja Dar es salaam au upande wa kushoto kama unatoka Dar es salaam, umeme upo karibu umbali wa mita 30, barabara ipo mpaka kwenye kiwanja, pia ni sehemu ambayo unaweza kufanya biashara kama ufugaji..

Kwa mawasiliano nipigie kwa 0654158574/0765353056/0684974811...ASANTENI SANA:
 
Back
Top Bottom