Viwanja Vinauzwa Kibaha Maili Moja

Viwanja Vinauzwa Kibaha Maili Moja

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
509
Reaction score
401
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hati miliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345.
@prathlimited
 
Attachments

  • d513cf73-ca63-448e-9801-7c843e9fa166_0_watermark.jpeg
    d513cf73-ca63-448e-9801-7c843e9fa166_0_watermark.jpeg
    303.4 KB · Views: 29
Mimi ni mmoja wa watu wachache wanaomfuatilia kwa ukaribu dalali radhiya, Dalali mbeya jiji, pamoja na yule Dalali wa mjini! Hawa madali ni watata sana linapokuja suala la bei, na pia 10% 😁
Mkuu nashukuru Kwa kunifatilia lakini sijawahi kuandika malipo yangu hapa japo kuwa inaeleweka.

Ninyi wateja mnaelewa vizuri sana haya mambo ya udalali lakini humu jukwaani mnajizimaga data Tu.

Kukupeleka kuona eneo niliandika unanilipia nauli Tu.

Baba mkubwa nadhani siku moja tutafanya Kazi pamoja
 
Mimi ni mmoja wa watu wachache wanaomfuatilia kwa ukaribu dalali radhiya, Dalali mbeya jiji, pamoja na yule Dalali wa mjini! Hawa madali ni watata sana linapokuja suala la bei, na pia 10% 😁
Tate mkuu, Endapo hujafanya utafiti huna haki ya kuongea. Ww ni mwanaume acha tabia za kike. Je umewahi fanya biashara yoyote na hao madali uliowataja? Acha kukurupuka.
 
Dalali wapuuzi sana, bei halisi ya maeneo au nyumba hawajui, ndio maana madalali wengi hasa Dar wamechoka sana, sbb hawapati wateja, wanataja bei hata hawajui kabisa bei halisi ya maeneo, ni nyoko sana
 
Acha kudharau Kazi yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom