Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

Weka survey plan, kwanza hii TP haipo full hivyo hatuelewi kama ipo approved au ni yaeneo ambalo lina tangazwa...

Hacha kuficha ficha ukiwa una Fanya biashara, itakusaidia sana
Sorry mkuu, mfano ungehitaji ungepata kama hii, hakuna kinachofichika katika ardhi
IMG-20201105-WA0004.jpg
 
Okay, uthibitisho wangu mkubwa ni kwamba yale maeneo yamepimwa juzi tu kwahiyo ni viwanja vipya, Dodoma viwanja vilivyopata migogoro ni vile ambavyo vilipimwa na CDA kwani CDA hawakulipa Fidia kwa watu ambao maeneo yao yalitwaliwa na hao CDA wakasababisha mgogoro kwa watu. Ila haya maeneo yaliyopimwa kipindi hiki cha manispaa kukabidhiwa ishu ya ardhi viko salama kabisa, kuweni na amani ndugu zangu Watanzania
Maendeleo hayana chama mkuu!!
Lakin upande wa kupewa Hati dzain kuna rushwa sana....mizunguko yake hatari
 
Hii survey plan mbona haifanani kabisa na Tp unayo inadi hapo juu??

Ebu ziweke zote in full...
Wewe umehitaji uone ramani ambayo ni approved nimechukua picha kwa juu ione, ile ni TP iliyoandaliwa kabla haijapelekwa kwaajili ya kuweka plot no, ndani. Nikakutumia ambayo haina uchafu ndani yake uone mkao wa viwanja, kama upo serious njoo nikupeleke site then kila kitu uone mwenyewe kikiwa kwenye michoro
 
Mweye uzi umeeleweka. Asiyetaka kukuelewa sio mnunuaji. Kwahatua hii ni mwenye mahitaji na hivyo viwanjja akupigie simu tuu
 
Wewe umehitaji uone ramani ambayo ni approved nimechukua picha kwa juu ione, ile ni TP iliyoandaliwa kabla haijapelekwa kwaajili ya kuweka plot no, ndani. Nikakutumia ambayo haina uchafu ndani yake uone mkao wa viwanja, kama upo serious njoo nikupeleke site then kila kitu uone mwenyewe kikiwa kwenye michoro
Boss Mimi pia nachora napima nafanya vingi sana, jiji nimefanya kazi, na sasa nafanya nao kazi... Nikiitaji taarifa zaidi napata hasa kwa kutumia hii survey plan sio hiyo tp uliyoiweka...

Pia ukiangalia kawaida blocks za katika Tp hazina mfanano na za ktk survey plan hivyo nikitu rahisi sana kumpa maelezo mazuri client wako na sio kuparuana nae...

Wewe una shindwa kufanya biashara kwa Uhuru kwa uhakika na unacho kifanya...

Nikupe tu taarifa hiyo tp sio tp ya hiyo survey plan... Kuna uwezekano mtu akauziwa viwanja tofauti na ktk ramani husika hasa wakifika site kwa kuwa wengi sio wataalam ktk maswala ya ardhi

Nina imani umeelewa ukiwa na uhakika na unacho uza basi karibu tufanye biashara na Nita kusaidia kufanya biashara bila shida yoyote... Week hii nitakuwa Dodoma jiji nakkaribisha
 
Wewe ndiyo hujaelewa mchoro unaweza kuwa surveyor mzuri ila usifikie utendaji wangu wa kazi pia, mimi pia ni surveyor labda nikufafanulie viwanja vipo 17 na michoro yote ipo na ni sehemu tofauti eneo ni hilo hilo, unaweza kwenda kuhakiki na ukaona ukweli huu, nilichokifanya ni kukupa eneo lenye taarifa sahihi kama mhuri na tarehe ya kupitishwa ila kuwa na amani vyote unavyohitaji vipo
 
Boss Mimi pia nachora napima nafanya vingi sana, jiji nimefanya kazi, na sasa nafanya nao kazi... Nikiitaji taarifa zaidi napata hasa kwa kutumia hii survey plan sio hiyo tp uliyoiweka...

Pia ukiangalia kawaida blocks za katika Tp hazina mfanano na za ktk survey plan hivyo nikitu rahisi sana kumpa maelezo mazuri client wako na sio kuparuana nae...

Wewe una shindwa kufanya biashara kwa Uhuru kwa uhakika na unacho kifanya...

Nikupe tu taarifa hiyo tp sio tp ya hiyo survey plan... Kuna uwezekano mtu akauziwa viwanja tofauti na ktk ramani husika hasa wakifika site kwa kuwa wengi sio wataalam ktk maswala ya ardhi

Nina imani umeelewa ukiwa na uhakika na unacho uza basi karibu tufanye biashara na Nita kusaidia kufanya biashara bila shida yoyote... Week hii nitakuwa Dodoma jiji nakkaribisha
Kumbuka ardhi haina biashara za ubabaishaji huwezi kumpeleka sehemu ambayo siyo wakati mawe, michoro na nyaraka vinaonyesha sehemu husika, Jitahidi kuboresha ili na wenzako waelewe hakuna mbabaishaji kwenye kitu serious kama hususani kipindi kigumu cha fedha hiki
 
yaani ng'ong'ona huko ninunue kiwanja ukubwa huo kwa 3.5mil?????. Jamaaa angu pesa ya Tanzania inathamani kubwa mno kuliko hiyo size na eneo hilo. chuo kikifunga huko kunakuwa hakufai mtu kuishi ...hakuna usalama kabisa haloo..miaka yote kupo hivo
 
yaani upo sahihi kabisa
mm hakuna watu nawachukia kama madalali wa viwanja wa pale Dodoma, sasa wanawadanganya watu wa mbali, wasioijua Dodoma wakiwadanganya CDA ndio waliharibu
Ng'ong'ona ina Mtendaji wa Kata kwao jirani na mkulu ana kiburi ni na ndiye tajiri hapo kijijini
Pili Jiji chini ya Kunambi iliuza viwanja kwa kutanguliza bei na walipewa miezi michahche wamalize deni sasa 85% hawakumaliza, sasa sijui huyu tajiridalali yeye kapate viwanja vinavyofuatana
Hapo Kijijini ni karibu kabisa na UDOM wafanyakazi wengi wamepanga kwa wenyeji na wanajenga huko.
Bado kuna migogoro ya viwanja sana na hata km ni kweli bei sio hiyo ya 3,5M
Jamani pateni Block ya hilo eneo ndipo mkaulize Plot watu wenye ramani ni wengi, mtapigwa mlie kilio cha umbwa kwani ramani zote mpaka sasa hivi hazifanani sio kwa Block wala Plot
 
Sawa mkurugenzi wa jiji, ukiwa hujui kitu ukae kimya siku nyingine utapata matatizo kwa kupotosha umma,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom