VIWANJA DOM
Member
- May 9, 2018
- 66
- 51
kwa sasa hatuna eneo huko.Eneo la Mtumba dodoma, kiwanja kikichopimwa, squaremeter 1000 ni shilingi ngapi?
Vipo, Nipe sifa na ofa yakoNahitaji kiwanja nala
Eneo la Mtumba dodoma, kiwanja kikichopimwa, squaremeter 1000 ni shilingi ngapi?
Vipo, Nipe sifa na ofa yako
Mkuu kwanini usitoe list ya viwanja ulivyonavyo na kuweka contact zako alafu akikipenda mtu anakutafutaVipo, Nipe sifa na ofa yako
Mkuu kwanini usitoe list ya viwanja ulivyonavyo na kuweka contact zako alafu akikipenda mtu anakutafuta
Poa kiongoziSawa nitaweka asubuhi kwani picha zipo kwenye gadget nyingine
Inategemea na mahali+ huduma za kijamiiJamani habari za mjukumu.kiwanja cha bei mafuu kwa dodoma ni sh ngapi?
Hapa mtapigwaeneo la ekari moja linauzwa jijini Dodoma.
Bei ni 6.5 milioni.
locationi ni michese Iringa road.
kuna umeme,maji,barabara,kupelekwa kuona ni bure kabisa na waweza lipia kwa awamu.
umbali toka town ni km 8 na nauli ya daladala ni 500tsh tu
call/watsap/sms. 0763906676
Mkuu vilikuwa vinauzwa 3M. Makazi ya kawaidaEneo la Mtumba dodoma, kiwanja kikichopimwa, squaremeter 1000 ni shilingi ngapi?