Viwanja Vinauzwa Iringa - Kitwiru Block J (Viwanja Vipya)

Viwanja Vinauzwa Iringa - Kitwiru Block J (Viwanja Vipya)

Mponjoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
668
Reaction score
159
WanaJamii

Nauza viwaja viwili eneo la Kitwiru Block J Iringa Municipal

1.Ukubwa: 907 sqm na1157sqm
2.Barabara: Eneo la mradi limepimwa na serikali na barabara za mitaa tayari zimechongwa
3. Viwanja vinafuatana na vinapakana na Block ya PSPF (wanatarajia kujenga nyumba za kuuza).
4. Umbali kutoka barabara kuu Mbeya - Dar - 900meters
5. Eneo lina offer, hati ziko kweye hatua za mwisho kukamilika (One to two weeks)
Bei maelewano, Madalali hawatakiwi.

Nitafute kwenye namba 0787656590
 
weka bei , kwanini bei inakuwa siri mpaka upigiwe?
 
Wenye nia ya kununua wameshanipigia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom