Viwanja vinauzwa - kimbiji/kijaka

Viwanja vinauzwa - kimbiji/kijaka

Chocolate

Senior Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
117
Reaction score
48
Viwanja viwili vinauzwa eneo la Kimbiji/kijaka (low density). Eneo linafikika kirahisi lipo karibu na barabara kubwa. Viwanja vyote vina offer halali. Kimoja kina ukubwa wa sqm 1,440 na kingine Sqm 840 unaweza kununua vyote kwa pamoja au kimoja kimoja. Bei ni nzuri na maelewano pia yapo. Mawasiliano ukitaka kuviona/kununua... 0719 460099
 
Sipendi Tangazo la kuficha ficha bei kama hili. Au ni tapeli?
 
Weka bei acha longolongo, mauzo ya kupitia online au social media yanawezeshwa na ku-display bei na kuainisha ikwa ni fixed au negoatiable. Tubadilike Watanzania dunia inatuacha sana.
 
Viwanja vina hati halali unaweza kupewa kopi ukaenda kuhakikisha. Bei kwa hicho cha sqm 1440 ni tshs milioni 18 na cha sqm 840 milioni 12 mazungumzo yapo pia. Kimbiji/kijaka ipo kigamboni dsm. Karibuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom