π PLOT FOR SALE IN CHAMAZI REAL-ESTATE
_________________________________
π₯Mladi mpya wa viwanja uliopo chamazi mbande Kilometer 1.5 kutoka uwanja wa mpira wa azam ( AZAMCOMPLEX) .
SIFA ZA VIWANJA VYA CHAMAZI MB
π Viwanja vipo tambalale
π Viwanja vimepimwa
π Unaweza kulipia kidogo kidogo adi unamaliza
π Viwanja vina Hati miliki
π Viwanja vinatambulika na serikali
π Viwanja vimepangiliwa katika makazi bora ya mji ( kila kiwanja kina barabara ya mtaa)
Ukifika MBANDE MAGENGENI Tupigie simu ofisi zetu zipo wazi (*0768 041 126 *0689 357 572) .
Usafiri upo bajaji πΊ 500 Boda π1000 kutoka mbande magengeni adi site.
Kumbuka Viwanja havina udalali piga simu 0768041126/0689357572 uje mwenyewe uchague kiwanja unachokipenda ulipie.
* BEI ZA VIWANJA *
ππ₯ 800,000/ FT 50Γ30
ππ₯ 1,300,000/ FT 50Γ40 sqm 200
ππ₯ 2,600,000/ FT 80Γ50 sqm 400
ππ₯ 5,200,000/ FT 100Γ80 sqm 800
*TERMS OF PAYMENT
CASH πΈ β
INSTALLMENT β
Unaruhusiwa kununua ata mtaa mzima pia unaweza kununua ata ukiwa nje ya Nchi na ukatumiwa hati yako .
* MAWASILIANO*
0768 041 126} whatsapp
0689 357 572} Whatsapp
Siku za kwenda site ni siku zote za wiki
NB: WEKEZA KWENYE ARDHI KWA MANUFAA YAKO YA BADAE.