Plot4Sale Viwanja (Vimepimwa ), Vinaizwa Bunju na Mpinga (Baobab Sec)

god luck

New Member
Sep 26, 2018
3
1
Viwanja (Vimepimwa ), Vinaizwa Bunju na Mpinga (Baobab Sec)

Kwa Mpinga Kimele vipo viwanja sqm 400 (20/20) kwa Tsh. 5 mil, sqm 600 (20/30) kwa Tsh 7 mil, sqm 800 (20/40) kwa Tsh 9 mil, Viko mbali wa Km 3 kutoka main road ( Bagamoyo road).
Process wa upimaji wa viwanja hivi haojakamilika bado inaendelea na hati zake ni za kusubiri. Pia maji katika viwanja hivi yako umbali wa Km 1 umeme uko umbali wa mita 600 (Nguzo 8 zinatakiwa).

Kwa Mapinga, Barnaby sec viko viwanja vya sqm 700 kwa Tsh 10 mil, sqm 1500 kwa Tsh 22 mil, kwa sqm 2000 kwa Tsh 32 mil, sqm 3000 kwa Tsh 41 mil. Viko umbali wa km 2.5 kutoka main road ( Bagamoyo road)
Process za upimaji wa viwanja hivi umekamilika 100% na hati zake ziko teyari. Maji na umeme viko site teyari

Luksa kulipa kwa awamu 2 ndandi ya miezi 3

Kwa Bunju viko viwanja 2 vya pamoja vimegusa main road (Bagamoyo road) na kila kiwanja kina ukubwa wa sqm 1700 kwa bei ya Tsh 50 million, ukiviunganisha unapata sqm 3400 kwa Tsh 100 million

Biashara hii haina dalali.
Call 0756951864
Whatappwhatapp 0718849462 Email. dickrwezaula26@gmail.com

IMG-20180914-WA0008.jpg
 
Habari
Nauza kiwanja chenye hati Kigamboni - Changani beach
Size - Sqm 900+
Bei - 9 Milioni
Mawasiliano - 0753066664
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom