Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Mwasonga.

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Mwasonga.

Mfano wa Kiwanja cha Sqm 650,
Gharama ni Tshs 15,000 x Sqm 650 = Tshs 9,750,000/=

Gharama ya Dalali
- Commission = Tshs 9,750,000/= x 10% = 975,000/=
- Kuonyeshwa = Tshs 50,000
JUMLA DALALI = Tshs 1,025,000

*Huu ni wizi na utapeli wa kiwango cha Maprofesa wetu wale wanaotajwa kwenye kila kadhia, akiwemo "Bwana Yule"
Unajua sana mahesabu,
Subiri utapewa uenyekiti wa kamati ya kuchunguza Makinikia ya MatikitiMaji.
 
nisikuaribie biashara mkuu, ila cheki na jamaa zako mjaribu ku review rate zenu kama mnataka kuuza
Unaifahamu Bei elekezi ya serikali?
Unamfahamu gharama ya Upimaji?
Vipi kuhusu kusafishwa Maeneo yafanane na mahala kwaajili ya ujenzi wa Makazi?

Tuwe considerate somehow.
Besides, Nimeeleza kuwa hii ni Biashara hivyo siku zote mazungumzo yapo baina yako na Mmiliki.
Mimi (dalali) sifanyi bargaining kwenye biashara nawaachia wahusika mmalizane.

Sijui unanielewa?
 
Huko sq m 1 haitakiwi kuzidi 5000 Tshs.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Bei halisi haifiki hiyo iliyotaja ndugu, hapo umeweka mara dufu. Kuna ulazima serikali iingilie sekta hii ya usa laki wa viwanja
 
Unaifahamu Bei elekezi ya serikali?
Unamfahamu gharama ya Upimaji?
Vipi kuhusu kusafishwa Maeneo yafanane na mahala kwaajili ya ujenzi wa Makazi?

Tuwe considerate somehow.
Besides, Nimeeleza kuwa hii ni Biashara hivyo siku zote mazungumzo yapo baina yako na Mmiliki.
Mimi (dalali) sifanyi bargaining kwenye biashara nawaachia wahusika mmalizane.

Sijui unanielewa?

nakuelewa sana mkuu, nipo kwenye industry hiyo hiyo ya ardhi, nafahamu urban planning, land surveying na land management pia! thats why nikasema nisiharibu biashara yako!
 
mzee kama pesq ni rahisi kiwango hicho yaani kumuonesha tu mtu kiwanja ulipie basi watu wasingelia maisha magumu......

Sent using Jamii Forums mobile app
Madalali wengine akikuonyesha Mali yeye ndie anae kulipa wewe Mteja. Mbona rahisi tu, Watafute mkuu. Kingine yaelekea unajua mengi nakushauri uandike kitalu kabisa kuhusu madalali nitakuungisha badala ya kupayuka pasi na tija.

[HASHTAG]#dalalitzee[/HASHTAG]
 
nakuelewa sana mkuu, nipo kwenye industry hiyo hiyo ya ardhi, nafahamu urban planning, land surveying na land management pia! thats why nikasema nisiharibu biashara yako!
Mtu mwenye Akili timamu maneno mawili tu toka kwake anaeleweka.
Mimi pia nina Muda na Uzoefu kiasi changu katika katika shughuli hizi.
Ieleweke hizi Mali si zangu, inapobidi Nashauri pande zote za wenye Mali na Wateja Vilevile.

Siku zote na pokea ushauri,
Pia criticisms ambazo ni constructive lakini ambazo zinakuja kiungwana.

Changamoto ya baadhi ya watu ya Jf tuizoee tafadhali.

Waungwana tunaelewana.

Karibuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom