Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Mwasonga.

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Mwasonga.

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,475
Reaction score
2,078
Mwasonga ipo kilomita 9 kutoka Kibada, Kigamboni.
Mbele kidogo ya Dar es salaam Zoo na jirani na Chuo kikuu cha kipya cha Wakorea.

Viwanja hivi vimepimwa na vipo vya ukubwa kuanzia mita za mraba 400 - 1800.

Bei kwa Mita moja ya mraba ni Tshs. 15,000/=. (Elfu Kumi na Tano)

Viwanja ni vingi.

ANGALIZO:
Malipo ya dalali ni 10%.
Uonyeshwaji ni Tshs. 50,000/=.

Maulizo zaidi usisite kuwasiliana nami : +255-714-591548.
 
Hapa ni utapeli mtupu.
Madalali ni washenzi sana (wengi wao)
Dalali amewahi kunitoa mpaka Iringa nafika kule alivyoona nimevaa suti akajua nina pesa za mchezo akapandisha eneo bei ghafla.
Ni vyema serikali iwaondoe hawa madalali wa vichochoroni wasiosajiliwa; maana wengi wamelizwa na hawa watu.
 
mmmmmmmhhh!!! kuonyesha tu eneo 50 elfu??
Bado mtu akinunua akupatie 10% ya gharama alizonunulia
 
Mwasonga ipo kilomita 9 kutoka Kibada, Kigamboni.
Mbele kidogo ya Dar es salaam Zoo na jirani na Chuo kikuu cha kipya cha Wakorea.

Viwanja hivi vimepimwa na vipo vya ukubwa kuanzia mita za mraba 400 - 1800.

Bei kwa Mita moja ya mraba ni Tshs. 15,000/=. (Elfu Kumi na Tano)

Viwanja ni vingi.

ANGALIZO:
Malipo ya dalali ni 10%.
Uonyeshwaji ni Tshs. 50,000/=.

Maulizo zaidi usisite kuwasiliana nami : +255-714-591548.
Mfano wa Kiwanja cha Sqm 650,
Gharama ni Tshs 15,000 x Sqm 650 = Tshs 9,750,000/=

Gharama ya Dalali
- Commission = Tshs 9,750,000/= x 10% = 975,000/=
- Kuonyeshwa = Tshs 50,000
JUMLA DALALI = Tshs 1,025,000

*Huu ni wizi na utapeli wa kiwango cha Maprofesa wetu wale wanaotajwa kwenye kila kadhia, akiwemo "Bwana Yule"
 
Mfano wa Kiwanja cha Sqm 600,
Gharama ni Tshs 15,000 x Sqm 650 = Tshs 9,750,000/=

Gharama ya Dalali
- Commission = Tshs 9,750,000/= x 10% = 975,000/=
- Kuonyeshwa = Tshs 50,000
JUMLA DALALI = Tshs 1,025,000

*Huu ni wizi na utapeli wa kiwango cha Maprofesa wetu wale wanaotajwa kwenye kila kadhia, akiwemo "Bwana Yule"

Imekula kwake kabisa
 
Hapa ni utapeli mtupu.
Madalali ni washenzi sana (wengi wao)
Dalali amewahi kunitoa mpaka Iringa nafika kule alivyoona nimevaa suti akajua nina pesa za mchezo akapandisha eneo bei ghafla.
Ni vyema serikali iwaondoe hawa madalali wa vichochoroni wasiosajiliwa; maana wengi wamelizwa na hawa watu.
Yaweza kuwa unayo maoni mazuri,
Bora uyapeleke kunako husika kuyaleta hapa nakuona mchawi tu.
 
Mfano wa Kiwanja cha Sqm 650,
Gharama ni Tshs 15,000 x Sqm 650 = Tshs 9,750,000/=

Gharama ya Dalali
- Commission = Tshs 9,750,000/= x 10% = 975,000/=
- Kuonyeshwa = Tshs 50,000
JUMLA DALALI = Tshs 1,025,000

*Huu ni wizi na utapeli wa kiwango cha Maprofesa wetu wale wanaotajwa kwenye kila kadhia, akiwemo "Bwana Yule"
kiulainiiii anapata mshiko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom