Plot4Sale Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Kigamboni

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,294
nauza viwanja vilivyopimwa viko kigamboni mbele ya kimbiji sehemu inaitwa yaleyale puna..tunauza kwa sq meter... sqm1 ni sh 9000 tunakupatia na hati yako..viwanja viko karibu kabisa na bahari in kama km moja kutoka baharini pia eneo LA puna ndiko manispaa ya kigamboni inatarajiwa kujengwa...viwanja vipo vya ukubwa tofauti kuanzia sqm 450 mpaka 1500.karibuni sana..namba yangu ni 0769468965(orion investment ltd)
NB.tunakubali malipo kwa instalment
 
Hiyo ni kama Posta mpaka Kibaha
Hiyo ni sawa na posta hadi Kwa Mfipa Kibaha,.kilometa tano kabla ya Kongowe. Kumbuka Kongowe hadi Dar ni kilometa 50. Na zero Distance kwa Dar es Salaam ni Clock Tower.
Au umbali huo ni karibu sawa na Dar to Kiwangwa kwa Bagamoyo road au Dar t to Mkuranga kwa Kilwa road. Na hapa Dar namaanisha Clock Tower!
 
Hiyo ni sawa na posta hadi Kwa Mfipa Kibaha,.kilometa tano kabla ya Kongowe. Kumbuka Kongowe hadi Dar ni kilometa 50. Na zero Distance kwa Dar es Salaam ni Clock Tower.
Au umbali huo ni karibu sawa na Dar to Kiwangwa kwa Bagamoyo road au Dar t to Mkuranga kwa Kilwa road. Na hapa Dar namaanisha Clock Tower!
ukorofi tuu:(
 
kigamboni ndio kila kitu sasa hivi mtu kama huna eneo basi naonaaa umechelewa sanaaa.....
 
Ardhi ni dili ila mnaidilisha mnoB-)
mkuu gharama za upimaji kidogo ni kubwa..kitu kingine viwanja vyetu viko sehemu nzuri viko jirani na bahari kuna umeme pia barabara kubwa inapita..
 
hakuna seheme mbali kwa ardhi kila MTU ana interests zake. sasa mtu unaposema ni bora ukanunue kibaha kuliko kigamboni sijui unakua na maana gani...na sio kila Mtu anaeishi kigamboni anafanya kazi posta..wala city center mi nakaa tabata Ila naweza nikamaliza hata mwezi bila kufika posts.....nawahakikishia like daraja LA kigamboni likikamilika viwanja uku vitakua havikamatiki hii nawapa siri exclusive hapa jf....kama unampanga wa kununua kiwanja sehemu nzuri na iliyopangika njoo kigamboni.. the time is now
 
Duh huo umbali ndio issue
mkuu umbali na wapi.?uku ndo manispaa ya kigamboni itajengwa kwa mbele kidogo kuna mradi wa avic town uko ndani wamewekama shopping malls,na ma recreational centre kibao beach zimetapakaa kila mahali ts fun asikwambie MTU.
 
wale jamaa wa avic town nyumba zao wanauza dola laki tatu nyuna ndogo ndogo kwa gharofa sijajua...now you can see how kigambon is vital and expensive we ujawai kushangaa kwa nini wazugu hawajengi kimara au uko kibaha?itafikia kipindi kigamboni watakuwa wanakaa wazungu na was Asia tu...sisi waswahili tutajazana uko ubungo msewe afu tutaanza kulalamika tunabaguliwa just wait in two years to come.
 
Nina viwanja huko karibu ya 6 na sio viwanja ni ekar sehemu tofauti,kigamboni ni deal sema now bei vimepanda kidogo....
 
shukrani zangu za dhati ziende kwa uongozi wa jamii forums na members wake wote...nashukuru napata wateja wa kutosha Japo sio wote wanaonunua Ila ile kuniuliza tu maswali kuhusu upatikanaji wa viwanja inatosha kabisa.
nawakaribisha na wengine wote...viwanja bado vipo na ni affordable kabisa uliza chochote tusaidiane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom