Vina offer mkuu?!Mashamba,viwanja/plots vinauzwa
a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 6,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/=
*Kumbuka kujenga katika maeneo hayo yenye viwanja ni rahisi maana mchanga na maji yapo hapo hapo.
VIWANJA VYOOTE VINAUZWA KAMA SHAMBA.KUVITEMBELEA NI BURE
CONTACT; 0717288306.

Kweli kabisa mkuunext time tuwekee metric measurements/hizi empirical zinachanganya wengi. tz ilishapiga marufuku hivi vipimo vya futi/inchi/maili zamani sana.
Umesema affordable eee?At least wewe your price is affordable
Mkuu nadhani hujamsikiliza Lukuvi leo kasema wote wanaonunua Shamba na kugeuza Viwanja imekula kwao... Na Hataki kusikia bei hizo... pia kama Shamba unauza uza shamba lote.. na kama unataka liwe viwanja basi unarejesha kama ni kijiji kwanza unalipwa chako and then kijiji ndio kinaomba ubadilishwaji kutoka Shamba kuwa viwanja... na wewe utakuwa mnunuzi kama hawa unaotaka kuwauzia... acheni ujanja ujanja wa kunyonya watu...Mashamba,viwanja/plots vinauzwa
a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 6,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/=
*Kumbuka kujenga katika maeneo hayo yenye viwanja ni rahisi maana mchanga na maji yapo hapo hapo.
VIWANJA VYOOTE VINAUZWA KAMA SHAMBA.KUVITEMBELEA NI BURE
CONTACT; 0717288306.
Lukuvi aweke kwanza bei elekezi kwenye ma apartments za viongozi vilivyoko Ostabei, Masaki na Upanga ndo apate moral credibility ya kuja kutoa bei elekezi kwenye viwanja vyetu vya mapinga, Mkuranga na Chanika.Mkuu nadhani hujamsikiliza Lukuvi leo kasema wote wanaonunua Shamba na kugeuza Viwanja imekula kwao... Na Hataki kusikia bei hizo... pia kama Shamba unauza uza shamba lote.. na kama unataka liwe viwanja basi unarejesha kama ni kijiji kwanza unalipwa chako and then kijiji ndio kinaomba ubadilishwaji kutoka Shamba kuwa viwanja... na wewe utakuwa mnunuzi kama hawa unaotaka kuwauzia... acheni ujanja ujanja wa kunyonya watu...
Naomba Taasisi husika ziwamulike tumetaka mabadiliko basi yawe mabadiliko...
''So Let be written, so let it be done''
Anataka viwanja viwe kama sugarLukuvi aweke kwanza bei elekezi kwenye ma apartments za viongozi vilivyoko Ostabei, Masaki na Upanga ndo apate moral credibility ya kuja kutoa bei elekezi kwenye viwanja vyetu vya mapinga, Mkuranga na Chanika.
Hivi kweli ilichokiandika unakielewa? Hii 40ftX50ft unajenga nyumba au kiota? Hivi vipimo ni sawa na185.80608m², kwa bei hizo ni wizi mtupu.Mashamba,viwanja/plots vinauzwa
a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 6,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=
d) Msongola Ilala - DSM 40ft X 50ft = 5,000,000/=
*Kumbuka kujenga katika maeneo hayo yenye viwanja ni rahisi maana mchanga na maji yapo hapo hapo.
VIWANJA VYOOTE VINAUZWA KAMA SHAMBA.KUVITEMBELEA NI BURE
CONTACT; 0717288306.
next time tuwekee metric measurements/hizi empirical zinachanganya wengi. tz ilishapiga marufuku hivi vipimo vya futi/inchi/maili zamani sana.
===========================================================================next time tuwekee metric measurements/hizi empirical zinachanganya wengi. tz ilishapiga marufuku hivi vipimo vya futi/inchi/maili zamani sana.