Y Yasintajohn56 Member Joined Jul 26, 2022 Posts 25 Reaction score 51 Sep 3, 2022 #1 Habari wana JF napendelea kuuliza kuhusu viwanja. Je ni viwanja gani ambayo unaweza kupata hati mana naona kwa sasa uwezi kupewa hati kwa viwanja vya 20kwa 20. Naitaji kununua msaada please
Habari wana JF napendelea kuuliza kuhusu viwanja. Je ni viwanja gani ambayo unaweza kupata hati mana naona kwa sasa uwezi kupewa hati kwa viwanja vya 20kwa 20. Naitaji kununua msaada please
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,396 Reaction score 195,244 Sep 3, 2022 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...
Shangani JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 776 Reaction score 1,095 Sep 5, 2022 #3 Unasema hauwezi kupewa hati kwa kiwanja cha 400sqm kuna Sheria au By laws inayokataza!!!
Ohm24 Member Joined Dec 28, 2020 Posts 92 Reaction score 98 Sep 5, 2022 #4 Shangani said: Unasema hauwezi kupewa hati kwa kiwanja cha 400sqm kuna Sheria au By laws inayokataza!!! Click to expand... Hakuna katazo la kiwanja cha sqm 400 sheria inaruhusu had sqm90 kwa squatter issue n 20*20
Shangani said: Unasema hauwezi kupewa hati kwa kiwanja cha 400sqm kuna Sheria au By laws inayokataza!!! Click to expand... Hakuna katazo la kiwanja cha sqm 400 sheria inaruhusu had sqm90 kwa squatter issue n 20*20
FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,401 Reaction score 2,752 Sep 5, 2022 #5 Sasa kama unanunua msaada, sidhani kuna haja ya hati. Ivi kwani kuna hati ya msaada?
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,963 Reaction score 2,385 Sep 5, 2022 #6 Ohm24 said: Hakuna katazo la kiwanja cha sqm 400 sheria inaruhusu had sqm90 kwa squatter issue n 20*20 Click to expand... hebu fafanua hapo mkuu sijakuelewa , 20*20 maana ake si ndio 400sqm au
Ohm24 said: Hakuna katazo la kiwanja cha sqm 400 sheria inaruhusu had sqm90 kwa squatter issue n 20*20 Click to expand... hebu fafanua hapo mkuu sijakuelewa , 20*20 maana ake si ndio 400sqm au
Ohm24 Member Joined Dec 28, 2020 Posts 92 Reaction score 98 Sep 6, 2022 #7 trigeminal said: hebu fafanua hapo mkuu sijakuelewa , 20*20 maana ake si ndio 400sqm au Click to expand... 20*20 ni sqm 400 ndio ,ila kinachokataliwa ni kiwanja mraba. Kiwanja kinawez kuwa 18*12,16*22 ilimradi kiwe na umbo la mstatili
trigeminal said: hebu fafanua hapo mkuu sijakuelewa , 20*20 maana ake si ndio 400sqm au Click to expand... 20*20 ni sqm 400 ndio ,ila kinachokataliwa ni kiwanja mraba. Kiwanja kinawez kuwa 18*12,16*22 ilimradi kiwe na umbo la mstatili
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,963 Reaction score 2,385 Sep 6, 2022 #8 Ohm24 said: 20*20 ni sqm 400 ndio ,ila kinachokataliwa ni kiwanja mraba. Kiwanja kinawez kuwa 18*12,16*22 ilimradi kiwe na umbo la mstatili Click to expand... nimekupata vema , nilikua na wasiwasi mie changu ni 28 x 15
Ohm24 said: 20*20 ni sqm 400 ndio ,ila kinachokataliwa ni kiwanja mraba. Kiwanja kinawez kuwa 18*12,16*22 ilimradi kiwe na umbo la mstatili Click to expand... nimekupata vema , nilikua na wasiwasi mie changu ni 28 x 15
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,486 Reaction score 15,201 Sep 25, 2022 #9 trigeminal said: nimekupata vema , nilikua na wasiwasi mie changu ni 28 x 15 Click to expand... Hongera Sent using Jamii Forums mobile app
trigeminal said: nimekupata vema , nilikua na wasiwasi mie changu ni 28 x 15 Click to expand... Hongera Sent using Jamii Forums mobile app