Viwanja na mashamba vinauzwa bei chee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja na mashamba vinauzwa bei chee

Discussion in 'Matangazo madogo' started by PROF MUDI DULA, Feb 27, 2013.

 1. P

  PROF MUDI DULA Member

  #1
  Feb 27, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viwanja na mashamba vinauzwa bei poa kabisa. Maeneo ya VIKINDU, mkoa wa PWANI. Mawasiliano rahisi ni 0653422776.
   
 2. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2013
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,633
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Tufanyeje sasa? Kuwa wazi weka bei,
   
 3. Fikra mlazo

  Fikra mlazo JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2013
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuepuka simu zisizo mpango,usumbuke bure,bora ueke bei na ukubwa wa eneo ikibidi ndugu yangu.Pwan kwa upande uohuo wa vkndu na mkuranga?
   
 4. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2013
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  PROF acha uzamani huo, nenda na wakati, weka maelezo ya kutosha ikiwemo Eneo lenyewe, ukubwa, na bei. Ikiwezekana azima kamera uweke na picha.
   
 5. P

  PROF MUDI DULA Member

  #5
  Feb 28, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawazo yenu ni mazuri, ila viwanja ni vikubwa mno. Hivyo tunapima ukubwa wa kiwanja unaotaka, kisha tunaelewana bei kutokana na eneo ulilojikatia.
   
 6. P

  PROF MUDI DULA Member

  #6
  Feb 28, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawazo yenu ni mazuri, ila viwanja ni vikubwa mno. Hivyo tunapima ukubwa wa kiwanja unaotaka, kisha tunaelewana bei kutokana na ukubwa wa eneo ulilojikatia.
   
 7. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2013
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,915
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Vipo karibu na barabara ya Kilwa?

  Umeme upo umbali gani?

  Ekari kumi zinapatikana?
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Najipimia ki digital au ki analogy?
   
 9. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2013
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,503
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Muhimu kuweka ukubwa wa hizo plot na bei yake. Please.
   
 10. P

  PROF MUDI DULA Member

  #10
  Feb 28, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiwanja kipo km 1.5 kutoka barabarani.

  Umeme upo km 1 kutoka kwenye shamba.

  Ekari 10 hazifiki.
   
 11. Poxino

  Poxino JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2013
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Watz bwana unataka uonekane upo biz kwa watu kukupigia cm weka bei mizunguko yanini
   
 12. Fikra mlazo

  Fikra mlazo JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2013
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu,bei ya mwisho kbs kwa eneo la kuweka nyumba ndogo complete na parking ni kama ngap hv minimum?if u feel uncomfortable just PM me
   
 13. P

  PROF MUDI DULA Member

  #13
  Feb 28, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  milion 2. Zaid ya hapo unaweza kuongea.
   
 14. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2013
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,600
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Mbona unafanya biashara unaringa kama unatufanyia feva vile! Milioni 2 ukubwa gani?
   
 15. P

  PROF MUDI DULA Member

  #15
  Feb 28, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya basi, bei ya mwisho kwa maelezo yako ni milioni 1.5. Kuwa na uhuru wa kuongea kuhusu bei.
   
 16. ruston8919

  ruston8919 Member

  #16
  Feb 28, 2013
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nina milioni 1
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2013
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,514
  Likes Received: 5,803
  Trophy Points: 280
  hujasema ukubwa wa kiwanja unang'ang'ania bei.....na mkumbuke kuacha barabara dio mnauza kama mbagala walivyofanya....... Miguu 20*30 unauzaje? Vikindu kijiji/kitongoji gani?
   
 18. P

  PROF MUDI DULA Member

  #18
  Mar 1, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya nipe namb yako tuwasiliane.
   
 19. Poxino

  Poxino JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2013
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mill 1 mkuu ipo ntapata
   
 20. P

  PROF MUDI DULA Member

  #20
  Mar 1, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ongeza laki 4 basi tumalize kazi.
   
Loading...