Tupe ukubwa wa viwanja mkuu... alafu na tudadavulie na bei yake mkuu. mana watu tupo serious na hii issue.Habar wapendwa?
Natangaza kwawale wapenda maendeleo,wanaohitaji mashamba,viwanja,beach au eneo kwaajil ya shughul yeyote kwa upande wa kigambon {kimbiji} dar tz! Nitafute sasa usichelewe,,,email: bahatigenchi@gmail.com / sim no. 0683775566
Tupe ukubwa wa viwanja mkuu... alafu na tudadavulie na bei yake mkuu. mana watu tupo serious na hii issue.
UsipuuzieKwa wale wapenda maendeleo na wanaohtaj kujenga, nawatangazia fursa ya kupata kiwanja kwa thaman ya bei sawa na buree!!!
Viwanja vpo mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa, panaitwa CHATEMBO
Ft 50 kwa 50 unapata kwa tsh.1500000 yan mil.moja na nusu tu,,,
Usichelewe njoo sasa upate kiwanja safi tambalale kwan hata ukiwa na pesa nusu unapokelewa,
Kwa maelezo n.k. piga sasa 0714775566 au 0683775566.
Usafir upo mbagara rang 3 muda wote,,,wooote mnakaribishwa.
Vimepimwa??Viwanja vipo mwandege chatembo,,yan nyuma ya kiwanda cha bakhresa,,
50 kwa 50 utapata kwa thaman ya sawa na buree tsh.1500000 yan ni mil.moja na nusu tu..
Hata ukiwa na nusu unapokelewa,,
Piga 0683775566 au 0714775566.
Woote mnakaribishwa,,usafir upo mbagara
Hivyo itakuwa viwanja fake epukana navyo.
Sasa vingekuwa havijapimwa mtoa mada angejuaje kama vina ukubwa wa 50*50vimepimwa?
Mwandege hakuna viwanja vilivyopimwa mkuu, ni skwata tu!!wewe mgeni wa kununua viwanja????? mana hata viwanjwa holela navyo vinahesabu.nina maana vimepimwa kiserikari?
vimepimwa ,,,vinahatiii,,,,ww ni dalali,,,kuna huduma gani za jamii,,,,unaposema nyuma ya baresa unamaanisha mmepakana kwa ukuta tuuu au ,,,kama sio ni umbali gani toka baarabara ya lamii,,,,futi ndo nini unaturudisha karne ya 19,,,tumia mita za mraba,,,,lazma uweke habari zisizocha maswali,,ndo maana unaona watu wanapita tu coz hujafungukaaaKwa wale wapenda maendeleo na wanaohtaj kujenga, nawatangazia fursa ya kupata kiwanja kwa thaman ya bei sawa na buree!!!
Viwanja vpo mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa, panaitwa CHATEMBO
Ft 50 kwa 50 unapata kwa tsh.1500000 yan mil.moja na nusu tu,,,
Usichelewe njoo sasa upate kiwanja safi tambalale kwan hata ukiwa na pesa nusu unapokelewa,
Kwa maelezo n.k. piga sasa 0714775566 au 0683775566.
Usafir upo mbagara rang 3 muda wote,,,wooote mnakaribishwa.