Viwanja mkuranga/vikindu

Viwanja mkuranga/vikindu

The_Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
243
Reaction score
86
Wasalaam wana-JF,

Nataka kununua shamba la hekari nne Mkoani Pwani, Mkuranga/Vikindu.

Wadau kuna mtu ambaye anajua gharama kwa hekari ni shingapi (market value ya heka) kwa sasa.

Natanguliza shukrani.
 
Wadau pleeze yani hakuna hata mmoja mwenye idea za bei ya mashamba pande za huko????
Na msata je?
 
mimi nipo vikindu kilongoni nyuma ya azam cola kama 5km toka barabara kubwa ila huku watu wengi sikuhizi wanakata viwanja na inategemea unataka ukubwagani vipo vya 2mil ,1.5mil hadi 1mil kwa acres sijui wanauza bei gani
 
Atakae kiwanja maeneo hayo ya vikindu kilongoni anitafute email threecat34@hotmail.com kilongoni ipo 25km kutoka city center na nisehemu ambayo watu wanajenga kwa kasi sana ni nyuma ya Azam cola km 5 kutoka kilwa road mm sikuambii utani huko watu wanajenga sana karibu ujionee mwenyewe na ununue viwanja kwa bei nafuu
 
Heka 2 naweza naweza kupata kwa bei gani mkuu???Mimi sina email so nimeamua niulize hapa jamvini
 
Sa si utoe bei tatizo nn?acheni ushamba ths is forum heshimuni hilo basi
 
mimi nipo vikindu kilongoni nyuma ya azam cola kama 5km toka barabara kubwa ila huku watu wengi sikuhizi wanakata viwanja na inategemea unataka ukubwagani vipo vya 2mil ,1.5mil hadi 1mil kwa acres sijui wanauza bei gani

Nitakucheki nikiwa fresh mkuu
 
Samahani nilipost bei muda mrefu ndugu yangu mbona post hii (mimi nipo vikindu kilongoni nyuma ya azam cola kama 5km toka barabara kubwa ila huku watu wengi sikuhizi wanakata viwanja na inategemea unataka ukubwagani vipo vya 2mil ,1.5mil hadi 1mil kwa acres sijui wanauza bei gani)
 
Heka 2 naweza naweza kupata kwa bei gani mkuu???Mimi sina email so nimeamua niulize hapa jamvini

Dah bosi kwa heka huku nimtihani ila subiri nitakuulizia manake wengi sikuhizi wanakatisha viwanja na watu wananunua sana kwa hapa kwetu wameshaingia hadi watu wa mipango miji kwa ajili ya jupima viwanja
 
Sa si utoe bei tatizo nn?acheni ushamba ths is forum heshimuni hilo basi

mimi nipo vikindu kilongoni nyuma ya azam cola kama 5km toka barabara kubwa ila huku watu wengi sikuhizi wanakata viwanja na inategemea unataka ukubwagani vipo vya 2mil ,1.5mil hadi 1mil kwa acres sijui wanauza bei gani
Last edited by Amos87; 11th December 2013 at 20:50.​
 
Weka bei ili tangazo lako lijitosheleze.

mimi nipo vikindu kilongoni nyuma ya azam cola kama 5km toka barabara kubwa ila huku watu wengi sikuhizi wanakata viwanja na inategemea unataka ukubwagani vipo vya 2mil ,1.5mil hadi 1mil kwa acres sijui wanauza bei gani
Last edited by Amos87; 11th December 2013 at 20:50.​
 
Wasalaam wana-JF,

Nataka kununua shamba la hekari nne Mkoani Pwani, Mkuranga/Vikindu.

Wadau kuna mtu ambaye anajua gharama kwa hekari ni shingapi (market value ya heka) kwa sasa.

Natanguliza shukrani.

nitafute ktk no.0758 950955,whatsup only.
 
Back
Top Bottom