Wanaume hawakamatiki siku hizi mpaka waone mazingira ya kilele cha utamuhivi kukaa uchi siku hizi imekuwa sehemu ya fasion ya baadhi ya wadada!!!
hivi kukaa uchi siku hizi imekuwa sehemu ya fasion ya baadhi ya wadada!!!
du!!!!na wale wanao itwa wife materials nao wanakaa hivyo!!!Wanaume hawakamatiki siku hizi mpaka waone mazingira ya kilele cha utamu
kweli mkuu kweli hii ni biashara,wanaume tuna shida!!!Mkuu hao ni biashara.
Kama walipatikana kwa njia kama hii unadhani hata wakiwa na wanaume wao watabadilika?Utashangaa kumuona mke wa mtu kavaa kinguo yaani akiinama kila kitu hadharani na yupo na mumewe huku jamaa akiwa hana wasiwasi anaona kila kitu sawa tu.du!!!!na wale wanao itwa wife materials nao wanakaa hivyo!!!
tunalea watoto katika mazingira magumu sana siku hizi!!Kama walipatikana kwa njia kama hii unadhani hata wakiwa na wanaume wao watabadilika?Utashangaa kumuona mke wa mtu kavaa kinguo yaani akiinama kila kitu hadharani na yupo na mumewe huku jamaa akiwa hana wasiwasi anaona kila kitu sawa tu.
Kweli kabisa mkuu Zamaulid na wanaochangia kuharibu watoto ni wazazi ambao wanajiona bado ni vijana na hata mahali ambapo wanatakiwa kukemea huacha tu na kuishia kusema ndio maisha ya siku hizi.tunalea watoto katika mazingira magumu sana siku hizi!!
Joseph tatizo,kuna wazazi watoto siku hizi!!!wao wenyewe ni watoto,hawajui malezi bora ni yapi!wanaishi kwa maisha ya maigizo zaidi hivyo hata watoto wanao wazaa mkondo unakuwa ni ule ule!!!Kweli kabisa mkuu Zamaulid na wanaochangia kuharibu watoto ni wazazi ambao wanajiona bado ni vijana na hata mahali ambapo wanatakiwa kukemea huacha tu na kuishia kusema ndio maisha ya siku hizi.
Hakika nalo hili ni tatizo katika jamii yetu siku hizi,kuna kazi kubwa sana kurejesha maadili ambayo wazazi wetu walikuwa nayo,heshima na adabu katika jamii haipo tena siku hizi,hakuna cha babu wala mjukuu wote wanakula sahani moja.Joseph tatizo,kuna wazazi watoto siku hizi!!!wao wenyewe ni watoto,hawajui malezi bora ni yapi!wanaishi kwa maisha ya maigizo zaidi hivyo hata watoto wanao wazaa mkondo unakuwa ni ule ule!!!
unazao tutafanikiwa kuyarejesha yale wanayo yaita ya kizamani!!hiyo isha pita tuendelee tu hivi hivi tukisubiri mwisho wa dunia,hivi walisema utakuwa mwezi huu vile?!Hakika nalo hili ni tatizo katika jamii yetu siku hizi,kuna kazi kubwa sana kurejesha maadili ambayo wazazi wetu walikuwa nayo,heshima na adabu katika jamii haipo tena siku hizi,hakuna cha babu wala mjukuu wote wanakula sahani moja.