Viwanja mbezi makabe\ msakuzi vya bei nafuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja mbezi makabe\ msakuzi vya bei nafuu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mwanaWaafrika, Jun 9, 2011.

 1. m

  mwanaWaafrika Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIWANJA VINAUZWA MBEZI MAKABE\MSAKUZI 23*22 2.5Mil , 20*20 2Mil
  (KWA TAARIFA ZAIDI PIGA 0718334726)
   
 2. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Shamba kubwa la eka nane na nusu Mbezi/Msumi 6Km toka Morogoro Road, Kuna banda zuri la mifugo laweza kugeuzwa nyumba ya kuishi, lina minazi miti ya miembe.Linastawisha kila kitu juu ya ardhi na pia lina bonde lenye maji ya kutosha kumwagilia. Barabara inafika hadi shambani. Bei ni maelewano. Dalali ni msamiati mgumu!! Hawatakiwi. Waweza kuni-PM :A S 100:
   
 3. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  1. kwa nini umedandia kwa mwenzio?
  2. weka bei kwenye bisness yako
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ....OK. Sasa Wewe ni Nani Mwenzetu?? Ndio Mwenyewe???
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Hiyo sio kanyaboya kweli, tumeshaambiwa dar es salaam hakuna mashamba!
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wee dr huyu kuku atakukimbiza mpaka wapi
   
Loading...