Viwanja chanika 3500000

mslopagaz

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
367
36
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne vinapatkana chanika karibia na shule ya didas masabur kwa ukubwa kwanzia 10×10,20×20,20×40 huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu sana
Contact; 0656 698232
 
10X10, 20X20, na 40X40 bei ni hiyo hiyo moja?
Ni Chanika maeneo gani?
 
Bei zinatofautiana kutokana na ukubwa wa kiwanja mkuu 10×10=2mil...20×20=3.5mil
 
Bei zinatofautina kutokana na ukubwa 10×10=2mil,20×20=3.5 mil vipo karibia na shule ya didas masabur
Vipi maji ya visima kwa maeneo yale yana chumvi?
Pale Pugu Kajiungeni tumechimba mita 80 deep ila maji ni chumvi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom