Viwanja bei ya kutupwa

Kariba1

Member
Aug 20, 2012
75
4
Mashamba yanauzwa bagamoyo kila heka 1 laki 8 yapo sehemu nzuri barabara ya kuelekea kiwangwa
zipo zaidi ya heka 300 kwa mawsiliano zaidi 0714107215 au 0714104788 Mudy Muzungu
 
Mashamba yanauzwa bagamoyo kila heka 1 laki 8 yapo sehemu nzuri barabara ya kuelekea kiwangwa
zipo zaidi ya heka 300 kwa mawsiliano zaidi 0714107215 au 0714104788 Mudy Muzungu
Mkuu nakuwekea PM sasa hivi.
 
umeme umepita pia kuna barabara ya rami imepita mashamba hayo yapo kilometa 1 kutoka barabarani ukipenda njoo tegeta kibaoni piga sim 0714104788
 
Je hayo si mashamba ya kuvamia? Je vip kuhusu udalali?
hayo siyo mashamba ya kuvamia yanauzwa na wenyeji yana hati za vijiji udalali huwa ni 10%
lakini maongezi yapo ukipenda njo tegeta kibaoni ofisini kwetu piga 0714107215
 
Duh waTanzania walanguzi ... hayo mashamba hiyo sio bei yake halafu, umezidisha mara 2 na nusu , kuweni na huruma na pesa ya wenzenu na pia msipende faida ya haramu !
 
Bagamoyo kubwa ina vijiji vyake kaka, hebu kuwa specific ni Bagamoyo sehemu gani, umbali wake toka barabara kubwa ya toka Tegeta~Bagamoyo, kama unaingia njia ya Kiwangwa kutoka yalipo mashamba/Viwanja pana umbali gani, na hiyo Lami uisemayo ni ipi hiyo ya Mpya ya Kiwangwa au?
Weka data zinazojitosheleza kupunguza maswali mengi badala ya kukimbilia kutukaribisha Tegeta, ili tuokoe muda na gharama zisizo za msingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom