viwanja A town..

Hivi PJ hupo kiwanja gani wajameni? lol
 
hiyo mawingu mpya iko wapi...maana karume day nakuja A town

bebii usijali....mimi nitakuonyesha ilipo ukishafika.....
kwa wasiojua ilipo ni pale maeneo ya NBC ya Uhuru road....kwenye kona kona fulani huko....

ile ilikuwa poa....kumbe bebii ulikuwepo eeh.....hivi yupo wapi Mr C siku hizi.....?

rr C yuko Arusha huko huko...mwaka jana nilikuwa naye..bebii nilikuwepo na huwa nakuja sana A town

bebii usijali....mimi nitakuonyesha ilipo ukishafika.....
kwa wasiojua ilipo ni pale maeneo ya NBC ya Uhuru road....kwenye kona kona fulani huko....

  • pouwa..
 
leo nimeamini kila mtu na starehe yake!!!manake hivi viwanja vilivyotajwa humu ni takataka tupu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…