Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Lazma Ujue unakoelekea
Wenzio huu mwaka wa 5 wanabeba zege degree wamefungia makabatini, we ukisoma kwa kuangalia mshahara utamaliza chuo ukose kazi uchanganyikiwe utaman kujinyonga.
Cha kukushauri we soma ukishaingia kwenye system hayo mambo utayajua, af kingine hivi viwango vya mishahara haviko constant kwa hiyo visikupoteze maboya.
 
Daaaah Kwel
 
Hizi mada ndo zinawaingiza mkenge wanavyuo, mtu anasoma hajapata kazi anaanza kuulizia salary scale, sa itamsaidia nn.
Nafikiri wengi wanahitaji mada ya namna ya kupata kazi serikalini kabla ya kujua mishahara. Ukikaa miaka 4 home na degree halafu huna kazi, ukiitwa sehemu mshahara 360,000/=, unaweza kukubali hata kufanya usiku na mchana
 
360k nying sana nmeshuhudia watu wakifanya kwa 200k kwa zaidi ya miez 6 na wengine zaid ya hiyo ila leo hawashikiki. Kikubwa ni focus tu na kutengeneza CV. Private sector ukiotea huwez kutamani serikalini ata kidogo
 
Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Hii ni gros ? Take home ni kiasi gani, baada ya makato.
 
Tanroad hebu nenda ukaulize vizuri,meneja wa mkoa tanroad anakunja milioni 2,izo status ilikuwa ni zamani kwa baadhi ya taasisi
 
Tanroad hebu nenda ukaulize vizuri,meneja wa mkoa tanroad anakunja milioni 2,izo status ilikuwa ni zamani kwa baadhi ya taasisi
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ 2M ni nyingi kwa Meneja? Sema Mishahara ya Serikali inategemea uko taasis gani mwalimu wa Degree ni kama Mara 3 na Nusu kufika Mshahara wa Entry degree level wa TRA wa Sh. 2, 340,000/= + 10% ya Over Time anakua kwenye 2.5M take home kama Hadaiwi loan Board anaweza Kuchukua 1.9M
 
Weken mahesbu ya mwalimu anaeanza kaz ngazi ya degree pia ana loan kutoka Heslb take home itakuwa bei gan wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…