Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Mfamasia ni 1,280,000/=
 
Ungetaja na hizo office za serikali zenye mishahara minono au pia ungetaja kada ili mtu ajue ni kada zipi zenye maslahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…