Viwango vya furaha kwa nchi duniani(world happiness report)

samakinchanga

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
2,014
1,217
imewekwa mtandao wa wikipaedia ni ya 2017.na Tanzania ni ya 153 kati ya nchi 156.
sijui vigezo gani wametumia kutuweka kwenye hiyo namba.
 

Attachments

  • kiwango cha furaha.doc
    765.5 KB · Views: 15
Masuala makubwa waliyozingatia ni hayo 14 hapo chini hivi tuko vibaya kiasi gani ,maana elimu ni bure na kila mtu anayo haki kuipata fursa zipo kibao ,suala la afya tuko vizuri zahanati kila kijiji na kata zipo,umeme vijijini unasambazwa haraka,chakula hatuna njaa na tunauza nje ,uchukuzi barabara na reli sg yaja,dini zina uhuru wa kuabudu .hapo walikosea mahali fulani waturupe namba inayostahili
Gallup World Poll questionnaire[19] measures 14 areas within its core questions: (1) business & economic, (2) citizen engagement, (3)communications & technology, (4) diversity (social issues), (5) education & families, (6) emotions (well-being), (7) environment & energy, (8) food & shelter, (9) government and politics, (10) law & order (safely), (11) health, (12) religion and ethics, (13) transportation, and (14) work.
 
Back
Top Bottom