Prince MakBenny
Member
- Mar 28, 2011
- 11
- 0
Wadau naomba mnijuze viwango vipya vya mshahara kwa mwalimu mwenye shahada.Pia ongezeko ni la asilimia ngapi please!
Kama vya zamani unavijua basi ongeza 8.6%Wadau naomba mnijuze viwango vipya vya mshahara kwa mwalimu mwenye shahada.Pia ongezeko ni la asilimia ngapi please!