R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Viwanda vya sukari vimesimamisha uzalishaji wa sukari, baada ya kuuliza sababu wametaja kuwa kuna msimu wa uzalishaji na muimu wa uzalishaji umeshapita. Ni wakati wa kusubiri mavuno na kusindika. Na kipindi hiki kitachukua miezi mitatu. Na ndo wakati wa kurekebisha mitambo mikubwa kwa kuifanyia matengenezo .
Baada ya kuulizia zaidi ya viwanda vitano vikubwa vya Kagera, Moshi, Morogoro.
Bei Kagera ya jumla kilo ni sh 2500, rejareja 3200-3500. Walikili kusimamisha uzalishaji na kusema ni wakati kama kuna upungufu serikali kutafuta njia mbadala.
Nilikwenda mbali kujiuliza maswali mwengi.
Je, ni kweli huwa wanafunga viwanda?
Ndo msimu wenyewe?
Kwanini kipindi hiki wakijua mahitaji ndio makubwa halafu wanafunga?
Je, mahitaji halisi ya nchi kwa kiezi hii 3 ni kiasi gani?
Je, huwa awazalishi ziada
Je, waziri na bodi ya sukari kwanini awasemi ukweli?
Je, ni hujuma?