Mosachaoghoko Senior Member Joined Apr 19, 2011 Posts 137 Reaction score 10 Aug 9, 2011 #1 akitoa shukrani hadi kwa wanyama wake kakaukiwa na koo hadi kaomba maji ya kunywa
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,507 Reaction score 45,129 Aug 9, 2011 #2 mkuu, hivi Tanzania tuna viwanda kweli? najua tulishawagawia wahindi vyote - sasa huyu waziri na wizara yake wanasimamia vipi?
mkuu, hivi Tanzania tuna viwanda kweli? najua tulishawagawia wahindi vyote - sasa huyu waziri na wizara yake wanasimamia vipi?
Mbaha JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 697 Reaction score 74 Aug 9, 2011 #3 FUSO said: mkuu, hivi Tanzania tuna viwanda kweli? najua tulishawagawia wahindi vyote - sasa huyu waziri na wizara yake wanasimamia vipi? Click to expand... Mkubwa... we acha tu!!... Nchi hii ni shamba la bibi... tena bibi marehemu.
FUSO said: mkuu, hivi Tanzania tuna viwanda kweli? najua tulishawagawia wahindi vyote - sasa huyu waziri na wizara yake wanasimamia vipi? Click to expand... Mkubwa... we acha tu!!... Nchi hii ni shamba la bibi... tena bibi marehemu.
K Kanda ya Ziwa Member Joined Apr 11, 2011 Posts 47 Reaction score 6 Aug 9, 2011 #4 Nashauri tubadilishe jina la waizara iitwe wizara ya wahindi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
M Magarinza Senior Member Joined May 9, 2008 Posts 122 Reaction score 13 Aug 9, 2011 #5 Si tunavyo viwanda vidogo vidogo (SIDO) jamani?!! Nadhani ingeitwa vizara ya sido na cbe