Vivazi vya manesi, nafuu kwa wagonjwa....

kiritimba

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
603
88
Leo nazungumzia sekta ya tiba hususani wauguzi wetu (manesi) na vivazi vyao.
Wengi hupendelea kuvaa nguo fupi (magauni) halafu yanabana, kiunoni imetengenezwa kama mkanda fulani hivi ambao unatenganisha eneo la juu na lile la chini ya kiuno...hapa inakuwa imeukata mwili hasa kwa wale namba 8.

Ufupi wa kivazi, umkute mtoto ana miguu ya bia, kafungasha, na mwili umekatika...halafu wana tabia ya kuinamainama wakati mwingine bila sababu maalumu....anakuja anakuchoma sindano utamsikia "poooleeeee".
Hukawii kupona!

Itaendelea hivi punde.

UPDATE 1:
Na umkute nyuma ya magoti ana michirizi ya utamu, ndo balaa. Utapona kabla ya kumaliza dozi.

UPDATE 2
Wengine kwa kuwaangalia (baada ya kukutamanisha) waweza ogopa kumwingia, kumbe mwenzio anasubiri useme tu....ukishindwa atamaliza yeye.

kiritimba
29.11.2011
 
Ufupi wa kivazi, umkute mtoto ana miguu ya bia, kafungasha, na mwili umekatika...halafu wana tabia ya kuinamainama wakati mwingine bila sababu maalumu....anakuja anakuchoma sindano utamsikia "poooleeeee".
Hukawii kupona!

Itaendelea hivi punde.

kiritimba
29.11.2011

Heheheee kama kweli vile...
 
Hapa kama una kisukari tayari ushaongeza na BP
 
Attachments

  • 6a00d83451bbfa69e2010534cfc9b6970b-640wi.jpg
    6a00d83451bbfa69e2010534cfc9b6970b-640wi.jpg
    17.2 KB · Views: 614
Leo nazungumzia sekta ya tiba hususani wauguzi wetu (manesi) na vivazi vyao.
Wengi hupendelea kuvaa nguo fupi (magauni) halafu yanabana, kiunoni imetengenezwa kama mkanda fulani hivi ambao unatenganisha eneo la juu na lile la chini ya kiuno...hapa inakuwa imeukata mwili hasa kwa wale namba 8.

Ufupi wa kivazi, umkute mtoto ana miguu ya bia, kafungasha, na mwili umekatika...halafu wana tabia ya kuinamainama wakati mwingine bila sababu maalumu....anakuja anakuchoma sindano utamsikia "poooleeeee".
Hukawii kupona!

Itaendelea hivi punde.

UPDATE 1:

Na umkute nyuma ya magoti ana michirizi ya utamu, ndo balaa. Utapona kabla ya kumaliza dozi.

kiritimba
29.11.2011

Nilkuwa najiuliza mara nyingi unasikia njemba imepona lakini inasema bado iwe hospt kwa muda (mgonjwa anaoomba kuwepo kidogo)!!! The teh:) Sasa nimejua siri ya GONJWA ISIYOTOKA WODINI
 
Sijakusoma.
Kivipi mkuu?

Ni kutokana na haya maelezo hapa chini:
kiritimba 24th November 2011 15:35
#1 JF Senior Expert Member Array

Join Date : 18th August 2011
Posts : 493
Rep Power : 21

[h=2]
icon1.png
Nimekwazika! Kwa herini MMU[/h]
Sina mengi ya kusema lakini kutokana na kuandamwa na "wakongwe" wa humu kwa sababu wanazozijua wao nimeamua kuwaachia jukwaa lenu.
Baada ya saa 5.45 usiku wa leo hamtaniona tena. Nilichotarajia kukipata (ushauri na social interaction) sikukipata bali nimekipata walichotarajia "wakongwe" wa humu (kama ambavyo naeleza mstari fatwa).

Nimepigwa mizengwe, nimetukanwa, nimekejeliwa, nimetemewa mate,...........hivyo nawaachieni "jukwaa lenu".

Naomba msamaha kwa wote niliowakwaza kama ambavyo mimi nimewasamehe wote walionikwaza na kunikosea.
Sitaingia tena kwenye jukwaa lenu.

Nawakieni MMU mwema.

Ndimi,

kiritimba
retired and resigned prematured @ mmu
 
Umwa kila siku basi. . . au mnunulie mkeo yunifomu muwe mnacheza uuguzi.[/QUOTE]

Baadhi ya mbwembwe ni lazima upitie chuo cha professional husika au ujifunze kutoka kwa wenzio waliopo kwenye hiyo field...lazima uwepo ndani.
 
Du umenikumbusha mbali sana kuna jamaa yangu alilazwa alikuwa akihudumiwa na nesi mmoja pale alikuwa anafarijika sana jinsi zile sare zilivyokuwa zinamkaa.
 
Back
Top Bottom