Viva Yanga!

Utopolo kwa dk kumi mmeanzisha nyuzi kama 20 hivi kufurahia ushindi wenu mnaouona wa maana sana,zawadi kombe la plastiki lile na vijipesa vya kununua sidiria za kuvalia madera yenu!!.
 
We mkia unazurura sana kweny nyuzi za Wanaume(yanga) kwani unateseka?hebu lala mkuu tunajua mambo haya yanauma sana,hii siku inakukumbusha mpapaso wa masau[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ushawahi kuchunguza akili za hawa majamaa [utopolo] yaani huwa kama malimbukeni fulani hivi...kichwani huwa hamna kitu kbs

Chunguza tu hata hpo mtaani kwenu utanimbia

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tuliishauri serikali kupitia upya utengenezwaji wa banana naona hawajaufanyia kazi bado,acha haraka hiyo pombe kwa usalama wa ubongo wako
 
Utopolo kwa dk kumi mmeanzisha nyuzi kama 20 hivi kufurahia ushindi wenu mnaouona wa maana sana,zawadi kombe la plastiki lile na vijipesa vya kununua sidiria za kuvalia madera yenu!!.
Wanafurahia lile birika la kuvutia shisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…