Viva JF Viva love connect

Hongera, lakini kuwa makini...tunaoigiza tupo wengi...
..Ukijiingiza mazima waweza kuumia, take your time!!

Thanx,ushauri wako utaniongoza.
 
It's real if you keep yourself real, kama uko kimaigizo utapata wa kuigiza nae..!
...Jaribu, kuwa serious uone kama hutampata...
..Niulize 'ntakwambia'..

Unachokisema ni kweli kabisa,humu kuna waigizaji hivyo unahitajika umakini wa hali ya juu kung'amua mbivu na mbichi.
 
rafiki naomba tenda ya kukuandalia mwonekano wa sherehe ya harusi yako itakavyokuwa na mambo mengine yanayohusu sherehe ya harusi yako kwani mm ni mtaalamu na nifanya shughuli hizo ona sign yangu hapo chini
 
samahani kama nimekukwaza kwani wewe ulishafanyiwa kitu kama hicho hapa jf?
It's real if you keep yourself real, kama uko kimaigizo utapata wa kuigiza nae..!
...Jaribu, kuwa serious uone kama hutampata...
..Niulize 'ntakwambia'..
 
It's real if you keep yourself real, kama uko kimaigizo utapata wa kuigiza nae..!
...Jaribu, kuwa serious uone kama hutampata...
..Niulize 'ntakwambia'..

Niambie bas Eli79 loh
 
Last edited by a moderator:
rafiki naomba tenda ya kukuandalia mwonekano wa sherehe ya harusi yako itakavyokuwa na mambo mengine yanayohusu sherehe ya harusi yako kwani mm ni mtaalamu na nifanya shughuli hizo ona sign yangu hapo chini

Don't worry, muda ukiwadia nitakutafuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…