Viuno! Viuno! Aaah!

vijana kila tunda na staili yake ya kulila ukitaka kula nanasi kama embe na ganda lake utasema nanasi halifai kumbe ubozi wako tu. kuna wanaojua ya mauno tu, kuna wanaoenda za magogo tu na kuna wanaojua namna ya kufaidi zote. Kinachotakiwa ujuzi tu. Kama wa mauno huna pole!
 
unaambiwa panda mti ukate mti, je upande nini ili ukate kiuno jamani????
 
touberrrr!!! usiniharibie swaumu bado sijafturu ujue. sijambo ankal. mambooooz zako!?

mamboz poa kabisa nasubiria vidufu nikavizie daku miye.....kuna sehem apa jirani
 
kuyajibu hadi uwe na phd ya malavidavi.

inabidi nitafute chuo cha malavidavi nikafunzwe shemeg...ila nitaomba nifunzwe topic nyingine hii ya viuno irukwe...
 
inabidi nitafute chuo cha malavidavi nikafunzwe shemeg...ila nitaomba nifunzwe topic nyingine hii ya viuno irukwe...

aaahh!! kwanini ya viuno ndio irukwe shemeg wakati maswali yake ndio yanayotoka sana kwenye mtihani. lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…