Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

kwahiyo akili zako zinakutuma humu member wote wa jf wapo Tanzania?

mimi niko Pyongyang, North korea, only jf ndio chombo changu cha kupata habari za nyumbani.

ndivyo walivyo utasikia mkuu huna TV? sasa ITV ntaitoa wa hapa DRC
 
Da, habari hizi zinashtua sana kwa sie wakazi wa maeneo ya boko, ukizingatia leo nimekutana na jirani yangu akiwa na wenzake wakielekea ofisi za serikali za mtaa wa basihaya kumtafuta mtoto aliyepotea toka jana mchana.
Sasa habari hii imenikumbusha hawa jirani waliokuwa wanamtafuta mtoto, isije kuwa ...!!.
 
Do!, habari hizi zinashtua sana kwa sie wakazi wa maeneo ya boko, ukizingatia leo nimekutana na jirani yangu akiwa na wenzake wakielekea ofisi za serikali za mtaa wa basihaya kumtafuta mtoto aliyepotea toka jana mchana.
Sasa habari hii imenikumbusha hawa jirani waliokuwa wanamtafuta mtoto, isije kuwa ...!!.
 
jamani mm ninazo picha hapa nimetumiwa plz nipo nakisimu Ku upload ni shida kidogo mwenye namba ya anistue nimtumie namba yangu ni 0717 228064
ili aziupload hapa jamvini zinatisha nakusikitisha nimeshindwa kuamini kama bongo tumefikia unyama huu

Mie nimepiga picha mwenyewe nashindwa kuziuppload
 
Wanaopotea ITV ama wanaotangazwa? Kupotea kupo ndugu haswa kwa wenye matatizo mwilini mwao au kama si mwenyeji wa eneo fulani waweza potea mchana kweupe.
 
Nimepata hizi ila bado sina uhakika, narudia tena sina uhakika.
 

Attachments

  • 1405970951814.jpg
    1405970951814.jpg
    57.9 KB · Views: 1,005
  • 1405970980773.jpg
    1405970980773.jpg
    75 KB · Views: 901
Jaman hii hali ya Bunju si nzuri hata

kidogo na wakipatikana waliofanya vitendo hivyo vya kinyama wasihurumiwe sheria kali itumike iwe fundisho
 
sababu za kupotea ugeni wa jiji,mabint kuhamia au kutoroshwa kwa wanaume, kutokujua mitaa,kutandia magari na kuachwa sehem wasizozijua na kuogelea maeneo ya fukwe kunakopelekea kuzama
 
ujue siku za nyuma kidogo muhimbili palikua na malalamiko ya uchafu utokanao na mabaki ya viungo vya mwili kuchanganywa ktk majalala ya wodi na uongozi ulikiri kuwa na tatizo ktk tanuri la kuchomea aina hzo za taka, so kama hlo tanuri bado halijakarabatiwa, baada yakunisoma jumlisha na za kwako!!
 
Day inauma,kuna mtoto anaitwa Meryn wa rafiki yangu ameibwa wiki iliyopita mhhhh
 
Wakati tukiendelea kujadili juu ya kukamatwa kwa viungo vya raia huko bunju.Hebu tujadili hiki.

Karibu kila siku Ukiangalia ITV saa12 jioni kuna watu huwa wanatangazwa wamepotea na sijui kama wanapatikana.

Hivi wale wanaopotea wanaenda wapi?

huu ni uchafu wa imtu si ipo opposite na inter chick jamani dont jump to conclusion immediately
 
Back
Top Bottom