Vitz old model namba C inahitajika

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
87,081
120,412
Kama tangazo linavyosema,vitz Old model iwe registration namba c inahitajika!
Iwe nzima na isidaiwe vibali kuna mteja ana milion 5 cash...
Kama kuna mtu anayo tuwasiliane na anirushie picha nione ili nkunganishe na mnunuzi Yuko dar.
Kwa mawasiliano piga 0715591141

Ova
 
hela yako ndogo nina t BZS imetembea 110,000 km ,nzima vibali ninaisha nov 2017 ila bila sita sitoi iko vizuri mbaya..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom