Hivi number huwa zina-determine ubora wa gari?
Samahani lakini.
Yes ofcourse, namba huwa zinadetermine value ya gari, na pia zmawezesha kutambua gari imetumika kwa kiasi gn.,na kwa muda gn ,mfano gari yenye no. C itauzwa bei ya juu kuliko yenye no. B.
Pole msee! !!!!Yes ofcourse, namba huwa zinadetermine value ya gari, na pia zmawezesha kutambua gari imetumika kwa kiasi gn.,na kwa muda gn ,mfano gari yenye no. C itauzwa bei ya juu kuliko yenye no. B.
That's absolutely wrong:sly:
Mchagga mjanja kumbe ww sio mjanja kabisa.
Kama mm leo nanunua gari showroom imetembea km170000, mwingine ananunua gari kwako ambayo umeshatembelea haijalishi kwa mda gani, odometer onasoma km50000, ipi itakuwa ni bora kati ya hizo?
Huyo kazungumzia ishu ya namba sio kilometer, afu pia unadhan gari yenye no. C inaweza ikawa imetembea xna kuliko yenye no. B??, ina maana hyo yenye no. B ilikuwa imewekwa kma mapambo ndani haitembei???

Kuhusu namba niupuuzi mi nimemnunulia mke wangu gari bkv. Mpaka leo tangu nimeitoa japani ametumia km. 4100. Tu yaani home ofisini na ni robo km. Je unaweza fananisha na gari yangu ninayotumia ambayo ni cem..kila siku nimguu na njia dar.. kampala rwanda ....nk.?????Huyo kazungumzia ishu ya namba sio kilometer, afu pia unadhan gari yenye no. C inaweza ikawa imetembea xna kuliko yenye no. B??, ina maana hyo yenye no. B ilikuwa imewekwa kma mapambo ndani haitembei???
Yes ofcourse, namba huwa zinadetermine value ya gari, na pia zmawezesha kutambua gari imetumika kwa kiasi gn.,na kwa muda gn ,mfano gari yenye no. C itauzwa bei ya juu kuliko yenye no. B.
Labda na mimi nitoe ka uzoefu kangu,
unaweza kukaa na gari miaka kumi ila unatumia kwenda kazini/Kanisani/Msikitini umbali wa KM 5 tu hivi kwa siku; lakini pia kuna watu wanatumia gari kwenda kazini umbali wa zaidi ya 140km (kwenda na kurudi) kila siku (mfano, moro to Dar; au Arusha Moshi kila siku ya kazi. Hilo gari liki kaa miaka tano hivi unaweza kuliona limeanza kuchoka (zaidi ya km 200,000) wakati lile la miaka kumi lina KM 40,000 bado zima kabisa.
Upya wa namba ni jinsi tu lilivyo sajiliwa lilipo ingia mara ya kwanza Tanzania Bara.
Kumbuka hata, ukiagiza gari la zamani....mf. mwaka 1990 na km zaidi ya 200,000 litasajiliwa kwa namba mpya kabisa (D)
Naomba ufikirie upya unavyo tumia namba kama kigezo cha ubora wa gari.
kazi kwako!
Hivi number huwa zina-determine ubora wa gari?
Samahani lakini.
Kwa ushamba wa Watanzania. Hawajui kuwa ukileta gari lililotumika Zanzibar kwa miaka mitano au kadhaa, bado ukilileta leo litakuwa na usajili huu: T...DDC(namba mpya ya week hii). Kumbuka kwa sasa namba zishatoka T. ..DCA-Z na kuwa T...DDA-C!
Hivyo ni kweli kuna magari mengi mabovu lakini yana namba mpya, sasa kwa sababu ya USHAMBA wetu hasa hapa Dar, wadanganyika wananunua herufi. Utasikia nataka gari premio namba C au D!